Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
Mi nahisi tu wabunge hawa ndo mwisho wao msimu huu kwakweli
1.Godbless Lema-maandamano mbele maendeleo nyuma
2.Agustino Mrema-Kukosa sera na uwakilishaji wakimantiki
3.Halima Mdee-kufata upepo na Kukosa ushahidi wa hoja zake
4.Steven Wassira-ushindani mkubwa kwa ester bulaya
5.George Simbachawene-ubinafsi na majigambo kwa wapiga kura wake
nipe mawazo yako unaohisi hawatakuwepo
 
Kuna MIZIGO kibao humu bungeni, napendekeza wananchi wa maeneo yao wasiwape kura tena hawa jamaa..

1.chiligati
2.ndugai
3.kawambwa
4.hawa ghasia
5.lukuvi
6.kikwete jr
7.mgimwa jr
8.ngeleja
9.ahmad rashid
10.wenje
11.mrema
12.mahanga
13.cheyo
14.chenge
15.sitta
16.makinda
17.muhagama
18.mtemvu
19.nadhani usha mjua anae fuata hapa ni nani?

Yaani sababu nadhani wote mnazijua, asilimia kubwa ya michango yao hawa jamaa ni ubnafsi, upayukaji, mitusi kwa mahsimu wao yaani hawana hoja za kitaifa, wananchi wa maeneo haya nawashaur hawa jamaa msiwarudishe kabisa

NB. Haya ni mawazo yangu, so sitegemei povu kubwa hapa
 
Wenje jembe ww mtoe ktk hiyo list muongeze lusinde na yule chizi nchambi. Komba alishajitoa mweyewe
 
Lusinde kwa nini umemsahau?
Aden Rage wa nini Msomali ndiye kawaambukiza wabunge wote wamekuwa wezi
 
Nakubali wenje ni jembe, lakin hana haiba ya kuongoza jamii, badala yake mi namuingiza kwenye kundi la wahuni tuu..
 
wale mashangingi wa viti maalum wote..... wakatafute mabwana kwingine!!!
 
Lusinde kwa nini umemsahau?
Aden Rage wa nini Msomali ndiye kawaambukiza wabunge wote wamekuwa wezi

Kaka kweli tena huyu lusinde alitakiwa awe namba moja, thanx kwa kumkumbuka na kumuongeza..
 
Habari yenu wadau, Leo vikao vya bunge la 20 na la mwisho vimeanza. Je, unahisi ni mbunge gani anayestahili na asiyestahili kurudi Bunge lijalo? Na sababu za kuwataja hao utakaowataja.
 
Sijaona mbunge hata mmoja kupitia ccm anastahili kurudi bungeni
 
Wabunge wa CCM hawastahili kurudi Bungeni except Kangi Lugola,Ester Bulaya, the rest wanastahili kurudi except Shibuda,Zitto,Arfi,Somebody(Nyerere viti maalumu) and co
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom