Wabunge CHADEMA wakubali yaishe, CUF watengwa!

Wala asife na Mungu aendelee kumlinda kwa nguvu zake zote ili mwaka 2020 aambulie asilimia 5% ya kura.

Tatizo unawaza kuwa serikali ya sasa inafanya vizuri..kama kungekuwapo tume huru ya uchaguzi bila kuingiliwa na vyombo vya dola ccm ingeshatoka madarakani. uchaguzi uliopita ccm ilishindwa vibaya hata wewe unajuwa hivyo
 
Kwani Binadamu hawezi kutubu na kubadilika?Lowassa n Sumaye waligundua kuwa hawako kwenye chama sahihi, kumbuku ukiwa kwenye chama unafata sera za chama si sera zako kama Furani anavyifata za kwake.....
"UKITAKA MAMBO YAKO YAKUNYOOKEE NJOO CCM"....Mh SUMAYE
 
Msigwa alishawahi kusema 'huwezi kutatua kosa kwa kutumia akili hiyo hiyo iliyosababisha kosa hilo'....akaendelea 'haiwezekani akili kubwa kutawala akili ndogo'. Akakazia 'wanaomuunga mkono Lowassa wakapimwe akili'.

Katika kampeni za Mwaka jana hoja kuu ya Chadema ilikuwa 'mabadiliko' ati wote walioongoza serikali katika kipindi cha miaka 50 iliyopita waondolewe sababu 'hawajafanya chochote ndani ya miaka 50 ya uongozi wao. Katika kuhakikisha wanaelekea katika mabadiliko hayo sasa wanalazimika kutumia 'akili ileile iliyosababisha matatizo ili kutatuta matatizo yale yale'. Kwa sasa Chadema hawawezi kufanya lolote bila kupata malekezo toka kwa Lowassa na Sumaye. Sasa akili ndogo inatoa ushauri kwa akili kubwa', wanapewa hadi maneno ya kuzungumza bungeni na kwenye mikutano ya siasa. Amri ni moja tu, ole wake mbunge wa chadema atakayezungumza kauli tofauti na maelekezo ya Sumaye na Lowassa...'atakiona cha mtema kuni'.

Ajizi nyumba ya njaa, wabunge wa chadema wamekubali yaishe kuwa Hemedi Alli ndiye mkuu mpya wa idara ya Habari na Propaganda Chadema. Tafsiri yake ni kwamba Tundu,Lema,Sugu na wenzao watalazimika kujifunza mila na tamaduni za chadema kutoka kwa Hemedi Ali. Hemedi Ali alijiunga Chadema tarehe 29.07.2015 siku Lowassa anatambulishwa kwa wanahabari kama Mgombea wa Chadema na baadaye Ukawa. Huyu alikuwa ni mwenyekiti wa 4U Movement. Ole wake Tundu aropoke, atawajibishwa..Msemaji ni mmoja tu Hemedi Ali.Bavicha mpya inakuja, vijana wa 4U,Ulipo Tupo na TeamLowassa kutawala nafasi za uongozi Chadema.

Katika hatua nyingine wabunge wa CUF wametengwa katika mazungumzo yaliyosimamiwa na Lowassa na Sumaye. Sasa ni kama watoto 'yatima', Seif hana habari nao.

Hakika wiki katika siasa ni sawa na mwaka katika maisha mengine, siku zinaenda kasi.

Kinachonisikitisha Ni kuona watu wanaojiita kuwa akili kubwa kukesha kumsema mtu mwenye akili ndogo, lowassa katoa maoni yake ccm yote imeinuka na kuita waandishi wa habari kumjibu mtu mwenye akili ndogo lowassa, hii ni sawa upo bafuni unaoga chizi akaja kukuibia nguo ukatoka bafuni uchi unamkimbiza chizi nadhani unajua nani atakuwa chizi
 
zungumzia serikali yako iliofilisika sio siasa za majitaka
 
Msigwa alishawahi kusema 'huwezi kutatua kosa kwa kutumia akili hiyo hiyo iliyosababisha kosa hilo'....akaendelea 'haiwezekani akili kubwa kutawala akili ndogo'. Akakazia 'wanaomuunga mkono Lowassa wakapimwe akili'.

Katika kampeni za Mwaka jana hoja kuu ya Chadema ilikuwa 'mabadiliko' ati wote walioongoza serikali katika kipindi cha miaka 50 iliyopita waondolewe sababu 'hawajafanya chochote ndani ya miaka 50 ya uongozi wao. Katika kuhakikisha wanaelekea katika mabadiliko hayo sasa wanalazimika kutumia 'akili ileile iliyosababisha matatizo ili kutatuta matatizo yale yale'. Kwa sasa Chadema hawawezi kufanya lolote bila kupata malekezo toka kwa Lowassa na Sumaye. Sasa akili ndogo inatoa ushauri kwa akili kubwa', wanapewa hadi maneno ya kuzungumza bungeni na kwenye mikutano ya siasa. Amri ni moja tu, ole wake mbunge wa chadema atakayezungumza kauli tofauti na maelekezo ya Sumaye na Lowassa...'atakiona cha mtema kuni'.

Ajizi nyumba ya njaa, wabunge wa chadema wamekubali yaishe kuwa Hemedi Alli ndiye mkuu mpya wa idara ya Habari na Propaganda Chadema. Tafsiri yake ni kwamba Tundu,Lema,Sugu na wenzao watalazimika kujifunza mila na tamaduni za chadema kutoka kwa Hemedi Ali. Hemedi Ali alijiunga Chadema tarehe 29.07.2015 siku Lowassa anatambulishwa kwa wanahabari kama Mgombea wa Chadema na baadaye Ukawa. Huyu alikuwa ni mwenyekiti wa 4U Movement. Ole wake Tundu aropoke, atawajibishwa..Msemaji ni mmoja tu Hemedi Ali.Bavicha mpya inakuja, vijana wa 4U,Ulipo Tupo na TeamLowassa kutawala nafasi za uongozi Chadema.

Katika hatua nyingine wabunge wa CUF wametengwa katika mazungumzo yaliyosimamiwa na Lowassa na Sumaye. Sasa ni kama watoto 'yatima', Seif hana habari nao.

Hakika wiki katika siasa ni sawa na mwaka katika maisha mengine, siku zinaenda kasi.

hivi ccm mna akili gani hapo lowassa na sumaye wangehutubia wabunge wa cuf mngesema chadema wanaimeza cuf ila wakiwaacha cuf nao kma chao wajipangie mambo yao mnasema tunajitenga. WHAT DO U REALLY WANT FOR ALLAH'S SAKE
 
Leo vijana wa Lumumba mmehamka na Lowassa,ndo mmepewa buku 7 kwa kazi hiyo nini? Kwani kama Ole sendeka ndo msemaji wa CCM mbunge yeyote wa CCM haruhusiwi kuzungumzia chama?
 
Mimi naona afadhali ya chadema inayo ongozwa na vichwa vya watu 3 Lowassa, Sumaye, na Mbowe. Lkn hebu itazame CCM. Hiki ni chama kinachoongozwa na fikra za mtu mmoja nae ni Magufuri.
Tuseme kweli ni jambo gani linaloweza kufanyika nje ya magufuri? Yeye ndo amekuwa farsafa ya chama, chama hadi sasa hakuna muelekeo kinafwata anachosema Magu. Ni mbuge au kiongozi gani anaeweza kupinga kauri ya Magu? Chama kimefikia hatua ya kutokujua kesho Magu atasema nn, ni Sera gani inayofatwa, na badiriko gani litatokea. Ngoma yoyote anayopiga Magu,chama hucheza. Serikali ndo imegeuka kuwa msimamizi wa chama badala ya chama kuisimamia serikali. Magu ndie amekua chama, serikali, bunge, na mahakama. KWELI NYANI HAONI KUNDULE
 
Nakuambia Tanzania bado hatujapata upinzani wa kweli,
Watasema mchawi ni Ccm kumbe ni wao wenyewe.

Mwananchi aliye choka na chama kimoja
Ili umpeleke chama kingine
Ni lazima uwe na mambo mapya
Watu wapya na hoja zenye mashiko
Ajabu
Wale aliye wachoka Ccm aende kuwakuta cdm
Tena ndio waamuzi wa lolote ndani ya chama!!!

MSIGWA MUNGU ANAKUONA KWA KAULI ZAKO ZILE
HUONI AIBU!!!!
Upinzani hakuna? Mbona matokeo mliyoyapika yanaonyesha upinzani umekua kwa asilimia nyingi zaidi. Mwenyekiti wenu wa tume ya uchaguzi alitangaza hivi: Ccm kura milioni 8......., Chadema kura milioni 6.......Je huo nini?
 
ilikuwa ni mchuano wa CCM'A' na CCM'B'
 
Leo vijana wa Lumumba mmehamka na Lowassa,ndo mmepewa buku 7 kwa kazi hiyo nini? Kwani kama Ole sendeka ndo msemaji wa CCM mbunge yeyote wa CCM haruhusiwi kuzungumzia chama?
Jenga hoja na sio kubweka bweka hapa.
 
Hoja yako haina msingi Yale yalikuwa mazungumzo ya wabunge was chadema na wasemaji walikuwa vingozi was chadema sio mazungumzo ya ukawa yangekuwa ya ukawa Cuf wangekuwepo. Mimi Mwana Cuf na nalitambua hill fuatilia mambo ya chama chako
 
Jenga hoja na sio kubweka bweka hapa.
Hoja ni kwamba serikali ya chama chenu ipunguze kuwa omba omba kama Matonya kuna siku itaomba fedha kwa mfalume Mswati kwa masharti ya kuwaweka rehani kwake nyie vijana wala vumbi wa Lumumba.
 
Kwani Binadamu hawezi kutubu na kubadilika?Lowassa n Sumaye waligundua kuwa hawako kwenye chama sahihi, kumbuku ukiwa kwenye chama unafata sera za chama si sera zako kama Furani anavyifata za kwake.....
Angepitishwa kugombea urais na chama pendwa CCM Ungesema hivyo.. Kubali ukweli ndo huo Chadema wamepoteza dira kabisa.. Me nawashauri wabunge wa chadema wakazane na majimbo yao tu
 
Msigwa alishawahi kusema 'huwezi kutatua kosa kwa kutumia akili hiyo hiyo iliyosababisha kosa hilo'....akaendelea 'haiwezekani akili kubwa kutawala akili ndogo'. Akakazia 'wanaomuunga mkono Lowassa wakapimwe akili'.

Katika kampeni za Mwaka jana hoja kuu ya Chadema ilikuwa 'mabadiliko' ati wote walioongoza serikali katika kipindi cha miaka 50 iliyopita waondolewe sababu 'hawajafanya chochote ndani ya miaka 50 ya uongozi wao. Katika kuhakikisha wanaelekea katika mabadiliko hayo sasa wanalazimika kutumia 'akili ileile iliyosababisha matatizo ili kutatuta matatizo yale yale'. Kwa sasa Chadema hawawezi kufanya lolote bila kupata malekezo toka kwa Lowassa na Sumaye. Sasa akili ndogo inatoa ushauri kwa akili kubwa', wanapewa hadi maneno ya kuzungumza bungeni na kwenye mikutano ya siasa. Amri ni moja tu, ole wake mbunge wa chadema atakayezungumza kauli tofauti na maelekezo ya Sumaye na Lowassa...'atakiona cha mtema kuni'.

Ajizi nyumba ya njaa, wabunge wa chadema wamekubali yaishe kuwa Hemedi Alli ndiye mkuu mpya wa idara ya Habari na Propaganda Chadema. Tafsiri yake ni kwamba Tundu,Lema,Sugu na wenzao watalazimika kujifunza mila na tamaduni za chadema kutoka kwa Hemedi Ali. Hemedi Ali alijiunga Chadema tarehe 29.07.2015 siku Lowassa anatambulishwa kwa wanahabari kama Mgombea wa Chadema na baadaye Ukawa. Huyu alikuwa ni mwenyekiti wa 4U Movement. Ole wake Tundu aropoke, atawajibishwa..Msemaji ni mmoja tu Hemedi Ali.Bavicha mpya inakuja, vijana wa 4U,Ulipo Tupo na TeamLowassa kutawala nafasi za uongozi Chadema.

Katika hatua nyingine wabunge wa CUF wametengwa katika mazungumzo yaliyosimamiwa na Lowassa na Sumaye. Sasa ni kama watoto 'yatima', Seif hana habari nao.

Hakika wiki katika siasa ni sawa na mwaka katika maisha mengine, siku zinaenda kasi.
Hakika ili sio jiwe gizani bali ni ukweli mtamu. Siasa mchezo usiotaka hasira.
 
Mkaachaga unafiki nyie watu,kama mnaona hatuna wapinzani Tanzania sasa mbona kila kukicha mnawadhibiti na kuwatungia makosa yasiyo na maana wewe sema Tanzania hatuna chama Tawala chama chetu ni polisi utaeleka sio unaonge pumba hapa
Umamaliza kutapika
Haya nenda kamezee na Vodka
 
Kwa hiyo Lowasa anazidi kuteka Kambi za Chadema...... taratibu Mbowe anazidi kupoteza ushawishi ndani ya Chama.

Hongera Lowasa kwa kuwafanya wabaya wako wakupigie Magoti.

Jamaa atawakomesha
 
Back
Top Bottom