Bado mnaongelea habari za UKAWA? Ukawa uliisha baada Dr. Slaa na Prof. Lipumba kuondoka.Vipi kuhusu UKAWA baada ya kutengwa wabunge wa CUF?
Naanza kumwelewa Lipumba!
Kama vile tumelaaniwa ............ maana hata chama cha kweli cha kutuongoza na kutupeleka kule kwenye Maziwa na Asali nacho hatujakipata!! Miaka 50 bado tuko kwenye mduara!! What a shame!!?Nakuambia Tanzania bado hatujapata upinzani wa kweli,
Watasema mchawi ni Ccm kumbe ni wao wenyewe.
Mwananchi aliye choka na chama kimoja
Ili umpeleke chama kingine
Ni lazima uwe na mambo mapya
Watu wapya na hoja zenye mashiko
Ajabu
Wale aliye wachoka Ccm aende kuwakuta cdm
Tena ndio waamuzi wa lolote ndani ya chama!!!
MSIGWA MUNGU ANAKUONA KWA KAULI ZAKO ZILE
HUONI AIBU!!!!
Sasa mbona unalia lia?.....nafc ndio nini? Jikite kwenye hoja.Siwezi Jenga hoja kwa mabandiko yako yako coz inaonekana uwezo wako wa kufikiri ni Mdogo mno, ila naomba ujifunze kwa wasira alitokea wapi mpaka ccm wakampokea, na wakampa nafc gan kwenye serkali na ndani ya chama
jikite kwenye hoja.Hawa jamaa wanataka kusahaulisha watu kuhusu mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu.Mmechelewa sana.
Mkuu hao wabunge wa Cuf wametengwa...hawahusishwi kwa chochote.Vipi kuhusu UKAWA baada ya kutengwa wabunge wa CUF?
Naanza kumwelewa Lipumba!
Hawa jamaa, wanachokosa ni madaraka na wala si chama sahihi, huko waliko ndio wamepotea njia kabisa.Kwani Binadamu hawezi kutubu na kubadilika?Lowassa n Sumaye waligundua kuwa hawako kwenye chama sahihi, kumbuku ukiwa kwenye chama unafata sera za chama si sera zako kama Furani anavyifata za kwake.....
Acha kuwajibia hawa wangepewa walichokitaka wangebaki kulekule tusidanganyane hapa na sababu za uongo. Waliharibu nchi wakiwa ccm sasa wataharibu wakiwa ukawaKwani Binadamu hawezi kutubu na kubadilika?Lowassa n Sumaye waligundua kuwa hawako kwenye chama sahihi, kumbuku ukiwa kwenye chama unafata sera za chama si sera zako kama Furani anavyifata za kwake.....
Sijaona hoja bali viroja.jikite kwenye hoja.
Huyo kijana anamaanisha chadema ni kanisa.Hawa jamaa, wanachokosa ni madaraka na wala si chama sahihi, huko waliko ndio wamepotea njia kabisa.
Kwa hiyo bungeni hakuna ushirikiano wa ukawa? au ndio kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake?Kwani uliambiwa wanakutana ukawa au cdm
Kabla ya kutokea huko alikotokea, alitokea wapi?Siwezi Jenga hoja kwa mabandiko yako yako coz inaonekana uwezo wako wa kufikiri ni Mdogo mno, ila naomba ujifunze kwa wasira alitokea wapi mpaka ccm wakampokea, na wakampa nafc gan kwenye serkali na ndani ya chama
Umenijibu au umeniulizaKwa hiyo bungeni hakuna ushirikiano wa ukawa? au ndio kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake?
Msigwa alishawahi kusema 'huwezi kutatua kosa kwa kutumia akili hiyo hiyo iliyosababisha kosa hilo'....akaendelea 'haiwezekani akili kubwa kutawala akili ndogo'. Akakazia 'wanaomuunga mkono Lowassa wakapimwe akili'.
Katika kampeni za Mwaka jana hoja kuu ya Chadema ilikuwa 'mabadiliko' ati wote walioongoza serikali katika kipindi cha miaka 50 iliyopita waondolewe sababu 'hawajafanya chochote ndani ya miaka 50 ya uongozi wao. Katika kuhakikisha wanaelekea katika mabadiliko hayo sasa wanalazimika kutumia 'akili ileile iliyosababisha matatizo ili kutatuta matatizo yale yale'. Kwa sasa Chadema hawawezi kufanya lolote bila kupata malekezo toka kwa Lowassa na Sumaye. Sasa akili ndogo inatoa ushauri kwa akili kubwa', wanapewa hadi maneno ya kuzungumza bungeni na kwenye mikutano ya siasa. Amri ni moja tu, ole wake mbunge wa chadema atakayezungumza kauli tofauti na maelekezo ya Sumaye na Lowassa...'atakiona cha mtema kuni'.
Ajizi nyumba ya njaa, wabunge wa chadema wamekubali yaishe kuwa Hemedi Alli ndiye mkuu mpya wa idara ya Habari na Propaganda Chadema. Tafsiri yake ni kwamba Tundu,Lema,Sugu na wenzao watalazimika kujifunza mila na tamaduni za chadema kutoka kwa Hemedi Ali. Hemedi Ali alijiunga Chadema tarehe 29.07.2015 siku Lowassa anatambulishwa kwa wanahabari kama Mgombea wa Chadema na baadaye Ukawa. Huyu alikuwa ni mwenyekiti wa 4U Movement. Ole wake Tundu aropoke, atawajibishwa..Msemaji ni mmoja tu Hemedi Ali.Bavicha mpya inakuja, vijana wa 4U,Ulipo Tupo na TeamLowassa kutawala nafasi za uongozi Chadema.
Katika hatua nyingine wabunge wa CUF wametengwa katika mazungumzo yaliyosimamiwa na Lowassa na Sumaye. Sasa ni kama watoto 'yatima', Seif hana habari nao.
Hakika wiki katika siasa ni sawa na mwaka katika maisha mengine, siku zinaenda kasi.
Mkuu UKAWA haupo. Wewe huijui CHADEMA ya sasa. Ghiriba tupuKwa hiyo bungeni hakuna ushirikiano wa ukawa? au ndio kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake?
Wala asife na Mungu aendelee kumlinda kwa nguvu zake zote ili mwaka 2020 aambulie asilimia 5% ya kura.Naamini kinachowasumbua ccm ni Lowassa, pia naamini bila hofu kwamba ccm wangefurahi sana kusikia Lowassa amefariki dunia maana amewanyima usingizi. Hivi inakuwaja kila siku mnamtaja Lowassa wakati mlishamkataa wala hakusababisha fujo akaondoka kwa ustaharabu wote hakuchukuwa chochote alichokuwa amesaidia chama chenu. kwenye kampeni mmemtukana kuwa ni mgonjwa na kunadi kuwa atakufa leo yupo Mungu ameendelea kumtunza ila kila siku Lowassa na maombi ya wana ccm ni kutaka Lowassa afe.