Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,953
- 10,037
Wacha watukane huku serikali ikafanya kazi yake na wananchi wanashuhudia.Hawa vijana wanaishia kutukana tu ukiwaambia ukweli.
Wacha watukane huku serikali ikafanya kazi yake na wananchi wanashuhudia.Hawa vijana wanaishia kutukana tu ukiwaambia ukweli.
Kwani Binadamu hawezi kutubu na kubadilika?Lowassa n Sumaye waligundua kuwa hawako kwenye chama sahihi, kumbuku ukiwa kwenye chama unafata sera za chama si sera zako kama Furani anavyifata za kwake.....
Msigwa alishawahi kusema 'huwezi kutatua kosa kwa kutumia akili hiyo hiyo iliyosababisha kosa hilo'....akaendelea 'haiwezekani akili kubwa kutawala akili ndogo'. Akakazia 'wanaomuunga mkono Lowassa wakapimwe akili'.
Katika kampeni za Mwaka jana hoja kuu ya Chadema ilikuwa 'mabadiliko' ati wote walioongoza serikali katika kipindi cha miaka 50 iliyopita waondolewe sababu 'hawajafanya chochote ndani ya miaka 50 ya uongozi wao. Katika kuhakikisha wanaelekea katika mabadiliko hayo sasa wanalazimika kutumia 'akili ileile iliyosababisha matatizo ili kutatuta matatizo yale yale'. Kwa sasa Chadema hawawezi kufanya lolote bila kupata malekezo toka kwa Lowassa na Sumaye. Sasa akili ndogo inatoa ushauri kwa akili kubwa', wanapewa hadi maneno ya kuzungumza bungeni na kwenye mikutano ya siasa. Amri ni moja tu, ole wake mbunge wa chadema atakayezungumza kauli tofauti na maelekezo ya Sumaye na Lowassa...'atakiona cha mtema kuni'.
Ajizi nyumba ya njaa, wabunge wa chadema wamekubali yaishe kuwa Hemedi Alli ndiye mkuu mpya wa idara ya Habari na Propaganda Chadema. Tafsiri yake ni kwamba Tundu,Lema,Sugu na wenzao watalazimika kujifunza mila na tamaduni za chadema kutoka kwa Hemedi Ali. Hemedi Ali alijiunga Chadema tarehe 29.07.2015 siku Lowassa anatambulishwa kwa wanahabari kama Mgombea wa Chadema na baadaye Ukawa. Huyu alikuwa ni mwenyekiti wa 4U Movement. Ole wake Tundu aropoke, atawajibishwa..Msemaji ni mmoja tu Hemedi Ali.Bavicha mpya inakuja, vijana wa 4U,Ulipo Tupo na TeamLowassa kutawala nafasi za uongozi Chadema.
Katika hatua nyingine wabunge wa CUF wametengwa katika mazungumzo yaliyosimamiwa na Lowassa na Sumaye. Sasa ni kama watoto 'yatima', Seif hana habari nao.
Hakika wiki katika siasa ni sawa na mwaka katika maisha mengine, siku zinaenda kasi.
Mkuu mbona umekuwa mkali namna hiyo kulikoni?Jenga hoja na sio kujichekesha chekesha.
Na wewe una chama?Toka Lowassa alipoachiwa agombee urais nilijua chama changu kimegeuzwa genge la wahuni.
Teh Teh Teh Teh......Kwani Binadamu hawezi kutubu na kubadilika?Lowassa n Sumaye waligundua kuwa hawako kwenye chama sahihi, kumbuku ukiwa kwenye chama unafata sera za chama si sera zako kama Furani anavyifata za kwake.....
Hapo umesema kinyume!Mbona Chademaa wanafuata sera za Lowassa? kwani Lowassa ni chama?
wa hiyo Trump ni nani hadi tumfateMpaka wakati wa utawala wa George Bush Junior Donald Trump alikuwa ni mwanachama mkubwa tu wa Democrat. Kwenye siasa haya ni mambo ya kawaida tu, yasikuumize sana. Kuna mwanasisa aliwahi kujiapiza hadi Mama yake mzazi iwapo atarudi ccm, lakini alirudi na akapewa usemaji mkuu wa chama.
post za wenye uwezo mdogo wa kufikiri unazikomentia nini jamaniSiwezi Jenga hoja kwa mabandiko yako yako coz inaonekana uwezo wako wa kufikiri ni Mdogo mno, ila naomba ujifunze kwa wasira alitokea wapi mpaka ccm wakampokea, na wakampa nafc gan kwenye serkali na ndani ya chama
Baada ya kutuibia ndio wametubu? Warejeshe walichotuibia hapo watakuwa wametubu bila hivyo ni tamaa ya madaraka hawana kipyaKwani Binadamu hawezi kutubu na kubadilika?Lowassa n Sumaye waligundua kuwa hawako kwenye chama sahihi, kumbuku ukiwa kwenye chama unafata sera za chama si sera zako kama Furani anavyifata za kwake.....
Kuna booklet yenye sera za Lowasa Tanzania hii au umeshiba kande?Mbona Chademaa wanafuata sera za Lowassa? kwani Lowassa ni chama?
kande ni chakula?Kuna booklet yenye sera za Lowasa Tanzania hii au umeshiba kande?
Ha ha ha hizi zama lini zinarudi?hata Tanzania Daima lilikuwaga tamu nyieee acheni pesa iitwe pesaView attachment 428405