Wabunge CCM siwatishi lakini tusilaumiane

Wabunge CCM msiofata matakwa ya mwenyekiti, siku zinakuja ambapo kila jina litasomwa mbele ya mwenyekiti wa CCM.

Niwakumbushe tuu msipofanya kazi zenu wakuu wa mikoa na wilaya watafanya.

Halafu bunge lijalo hatuhitaji upinzani ndani ya Chama kama hivi sasa hivyo wapinzani wanaostahili wawe ACT, wawe CHADEMA, CUF nk kama watakashinda kwa haki tutawapa ubunge.

Trillion 1.3 mko kimya

Ujenzi wa madarasa, zahanati, hospitali kila kombo mko kimya

Mabilioni ya misaada kutoka nchi wahisani mko kimya

Kupanga wa machinga mko kimya

Sasa endeleeni kufurahia ka mwisho mwisho

Chanjo ya korona mko kimya

Kila mtu atasimama na hesabu yake itasomwa endeleeni kukaa kimya wabunge
Tusilaumiane
Umesema ukweli kwa jinsi wahunge wa hili bunhe walivyo kimya kwa kila kitu utadhani ni
wabunge wa Venezuela.

Hakuna hata moja linawahusu. Sijui ni kubweteka au vipi.
 
Wabunge CCM msiofata matakwa ya mwenyekiti, siku zinakuja ambapo kila jina litasomwa mbele ya mwenyekiti wa CCM.

Niwakumbushe tuu msipofanya kazi zenu wakuu wa mikoa na wilaya watafanya.

Halafu bunge lijalo hatuhitaji upinzani ndani ya Chama kama hivi sasa hivyo wapinzani wanaostahili wawe ACT, wawe CHADEMA, CUF nk kama watakashinda kwa haki tutawapa ubunge.

Trillion 1.3 mko kimya

Ujenzi wa madarasa, zahanati, hospitali kila kombo mko kimya

Mabilioni ya misaada kutoka nchi wahisani mko kimya

Kupanga wa machinga mko kimya

Sasa endeleeni kufurahia ka mwisho mwisho

Chanjo ya korona mko kimya

Kila mtu atasimama na hesabu yake itasomwa endeleeni kukaa kimya wabunge
Tusilaumiane

Wanatakiwa kufanya nini katika hayo uliyotaja?
 
Mbunge anatoa chanjo korona? Wataalamu wapo!
Mbunge anajenga madarasa?
Utaratibu upo!
Mbunge anakopa fedha?
Wakopaji wapo!
Kazi za wabunge sio za upambe ama kumwingilia mkurugenzi na timu yake.
Ndomana linakuja jina mazuzu...
inafaa watunge na kusimamia Sera,kuisimamia serikali,kutunga sheria bora,kupitisha bajeti bora,kuchochea amani na maridhiano,kuwasilisha mawazo ya wananchi serikalini namambo kamahayo siyo kupiga domo kama ulivyozoea mleta sredi
 
Wabunge CCM msiofata matakwa ya mwenyekiti, siku zinakuja ambapo kila jina litasomwa mbele ya mwenyekiti wa CCM.

Niwakumbushe tuu msipofanya kazi zenu wakuu wa mikoa na wilaya watafanya.

Halafu bunge lijalo hatuhitaji upinzani ndani ya Chama kama hivi sasa hivyo wapinzani wanaostahili wawe ACT, wawe CHADEMA, CUF nk kama watakashinda kwa haki tutawapa ubunge.

Trillion 1.3 mko kimya

Ujenzi wa madarasa, zahanati, hospitali kila kombo mko kimya

Mabilioni ya misaada kutoka nchi wahisani mko kimya

Kupanga wa machinga mko kimya

Sasa endeleeni kufurahia ka mwisho mwisho

Chanjo ya korona mko kimya

Kila mtu atasimama na hesabu yake itasomwa endeleeni kukaa kimya wabunge
Tusilaumiane
Aliyekuambia kuwa kuna wabunge kakuongopea,tunavyojua sisi kuna kusanyiko la mazuzu.
 
Mlishaambiwa mkishaua upinzani jiandaeni kwa upinzani ndani ya huo umoja wenu wa majambazi.
Na bado!!
 
Back
Top Bottom