Wabunge 10 machachari, 10 wakimya

Wabunge 10 machachari, 10 wakimya

You should review the man's perfomance not only in one area. Think of him since 1990's when he became a minister to date, so you can conclude on your own.
Which way you applied to measure the truthfulness of u're statenent?" to measure the truth of a statement depends on the premises(deductive) or using the premises to grants the validity of the conclusion(inductive)"??
 
Zaidi ya kupora na kuiba ranch za taifa...hakuna jipya alilofanya, mnaogopa kuongea ukweli kwa kuwa ni mtu wa visasi...!

Hapo juu kidogo nilisema...simple mind...mitazamo ya kijinga. Naongezea kuwa "ukiona watu wanakujadili ujue wanakukubali". Siasa za mitaani ni shida.
 
Wamefanya nini tangible, kitu kinachoshikika, kinachooneka, unachoweza kunyooshea kidole ukasema kile pale?

Wameandika sheria gani, wamezuia sera gani mbaya, wamerekebisha sheria ipi, wamezuia matumizi gani wasteful?

John Mnyika, kwa mfano, amewahi kuandika nini duniani kikapita bungeni kikawa sheria?

Rudi darasani ukajifunze kanuni na taratibu za bunge, utaelewa...! Kazi ya Bunge ni kuisimamia na kushauri serikali...! Hoja na Maswali yake yote nenda bungeni ukapitie Hansard zake
 
Which way you applied to measure the truthfulness of u're statenent?" to measure the truth of a statement depends on the premises(deductive) or using the premises to grants the validity of the conclusion(inductive)"??

Nakurahisishia kwa kiswahili. Rejea kazi alizofanya kwa kipindi chote tangu miaka ya 90 alipoanza kuwa waziri, ndipo uhitimishe hoja yako. Kwa maana nyingine nimekupa homework badala ya kukurupuka na hoja nyepesi ya sijui kawa wa 5 kuchangia kidogo bungeni. Think!
 
Lowasa anaogopa kuongea maana hana analojua.mbumbumbu mzungu wa reli.
 
Dewji ndio tangu nianze kuangalia bunge sijawahi hata kumuona viwanja vya Bunge au hata ukumbini amekaa.hebu mwenye picha ya dewji amekaa bungeni aweke hapa.
 
sasa cha ajabu ni kwamba akili yangu imeganda lakini umeshindwa kujibu swali la mtu ambae akili yake imeganda.

Narudia tena:


Mbunge nambari moja kwa kuchangia bungeni, John Mnyika, kwa mfano, zaidi ya kuongea na kutoa yaliyo kichwani tu, amewahi kuandika nini kama mbunge kikawa sheria ama sera ya nchi?

Kumbe unadhani kazi ya Mbunge ni nini kama sio kuandika sheria? Huna exposure ya mambo ya kisiasa yanavyokwenda duniani kwingine, umekulia na kuganda kwenye upeo wa siasa za kibongo, hujui kama mbunge kazi yake ni kuandika sheria, hata kama hapa kwetu hawana uwezo huo.
Masikini pole wa mjinga hivi umesoma iteba au milambo?
 
Hivi kunamajimbo hambayo hayana kero zozote kweli au hawa walikua wanasubiria 2 mshahara na zile posho wakalee familia zao jamani tusimame kwa nguvu kujua haki zetu zinafikishwa sehemu husika

rasimu ya pili ya katiba ilikuwa ns hicho kipengele kinachompa nguvu mwananchi kumwajibisha mbunge kama hawajibiki effectively. Hakuna njia mbadala sasa kwasababu wananchi wanaweza kutumia nguvu na weredi wao kumchagua mtu wanaoamini kuwa atakuwa mwadilifu na mchapa kazi.kwasababu lolote linaweza kutokea, akaingia bungeni akaanza kufanya kazi ya ziada ya kulala usingizi na kupiga kimya na hakuna ngao inayowapa nguvu wananchi kumchukulia hatua mbunge wao kwa wakati zaidi ya kusubiri uchaguzi mkuu tena.
 
Back
Top Bottom