victor shio
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 651
- 109
Mara nyingine kukaa kimya ni hekima kuliko kuongea usichojua na kudhihirisha kuwa una uwezo mdogo japo si dhambi kuwa na uwezo mdogo.
Sijakuele una tetea nn mkuu
Mara nyingine kukaa kimya ni hekima kuliko kuongea usichojua na kudhihirisha kuwa una uwezo mdogo japo si dhambi kuwa na uwezo mdogo.
Uliyefanya research wewe ni mdau mkubwa wa chadema.....si dhani kama huh nao eti ni utafiti
Upo took bias

Wamefanya nini tangible, kitu kinachoshikika, kinachooneka, unachoweza kunyooshea kidole ukasema kile pale?1. John J. Mnyika 2. Tundu Lissu 3.Moses Machali 4. Murtaza Mangungu 5. Diana Chilolo 6. Leticia Nyerere 7. Halima Mdee 8. Felix Mkosamali 9. Zitto Kabwe 10. Selemani Jaffo
Mkuu mpk, kulingana na chanzo nilichokiweka, wasiochangia na wala kuuliza ni wakwanza na wapili kundi la wakimya. Jua kuwa Lowassa hajauliza hata swali moja hadi sasa. Haoni tatizo lolote la kuulizia swali. Halafu eti anataka Urais. Naye kuhusu umaskini atasema hajui chanzo
Wamefanya nini tangible, kitu kinachoshikika, kinachooneka, unachoweza kunyooshea kidole ukasema kile pale?
Wameandika sheria gani, wamezuia sera gani mbaya, wamerekebisha sheria ipi, wamezuia matumizi gani wasteful?
John Mnyika, kwa mfano, amewahi kuandika nini duniani kikapita bungeni kikawa sheria?
Haiwezekani kwa ambao hawajachangia abood wamorogoro hayupo,ilitakiwa awepo
Lowasa si kazibwa mdomo na wakuu angechangiaje! Bt riz1 sijamsikia kabisa
Hawa ndo walio ajiriwa baada ya Email ya Zito.Uliyefanya research wewe ni mdau mkubwa wa chadema.....si dhani kama huh nao eti ni utafiti
Upo took bias