Mbunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa aliuliza maswali matatu ya nyongeza na kuchangia mara mbili.
KIJANA MWENZETU HUYU ANATUANGUSHA SANA, Nimeumia sana baada ya kuona takwimu hizi kwa kijana mwenzetu huyu.
Hivi kule kalenga hakuna matatizo hadi ukose cha kuuliza? Hivi kichwani kwako ni mtupu kiasi hicho hadi ukose cha kuchangia? Ni aibu!
Baba yako hakuwa hivi hata kabla ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Fedha (R.I.P Mhe Mgimwa)
Hivi kama huyu kijana asingekuwa Bungeni nani angeomba kifo cha Mh.Waziri kisijadiliwe.Ufahamu wangu the Late Mgimwa was the public figure na tuna haki ya kujua yaliyomsibu.