KIGENE
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,552
- 813
Mkuu tafiti ujibiwa kwa tafiti vinginevyo unahamua kuuchuna.Uliyefanya research wewe ni mdau mkubwa wa chadema.....si dhani kama huh nao eti ni utafiti
Upo took bias
Mkuu tafiti ujibiwa kwa tafiti vinginevyo unahamua kuuchuna.Uliyefanya research wewe ni mdau mkubwa wa chadema.....si dhani kama huh nao eti ni utafiti
Upo took bias
Ambao hawakuchangia kabisa wako wapi? Maana humo kuna Dewji, Airo na wengine. Lakini pia mtoto wa mfalme hawezi kukosa kwa waliochangia kidogo
Ndesamburo Kiwelu PhilemonMbona Ndesamburo hayupo kwa waliokaa kimya?
Jiite pwani yetu kuliko kuaibisha watu wa Babati walioamka,Babati hatuna watu wa aina yako kwa sasa
Sijakuele una tetea nn mkuu
Sijakuele una tetea nn mkuu
Wachagueni waimbaji wa bongo flava, hao ndio watawaletea maendeleo.Napenda sana mabadiliko,natamani niwe kwenye akili za Watanzania ili niwachaguae wabunge wengi wa Upinzani kama 52% then mabadiliko yatakuwepo maana kwa katiba hii na pendekezwa hatuwezi kupata tume huru ya Uchaguzi.
Mbunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa aliuliza maswali matatu ya nyongeza na kuchangia mara mbili.
KIJANA MWENZETU HUYU ANATUANGUSHA SANA, Nimeumia sana baada ya kuona takwimu hizi kwa kijana mwenzetu huyu.
Hivi kule kalenga hakuna matatizo hadi ukose cha kuuliza? Hivi kichwani kwako ni mtupu kiasi hicho hadi ukose cha kuchangia? Ni aibu!
Baba yako hakuwa hivi hata kabla ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Fedha (R.I.P Mhe Mgimwa)