Wabunge 10 machachari, 10 wakimya

Wabunge 10 machachari, 10 wakimya

Uliyefanya research wewe ni mdau mkubwa wa chadema.....si dhani kama huh nao eti ni utafiti

Upo took bias

Kwani kafanya utafiti yeye au hizo ni takwimu kwenye tovuti ya bunge?
 
Wamefanya nini tangible, kitu kinachoshikika, kinachooneka, unachoweza kunyooshea kidole ukasema kile pale?

Wameandika sheria gani, wamezuia sera gani mbaya, wamerekebisha sheria ipi, wamezuia matumizi gani wasteful?

John Mnyika, kwa mfano, amewahi kuandika nini duniani kikapita bungeni kikawa sheria?

Angalia orodha ya wale ambao hawajasema chochote wanatoka chama kipi ndio ujue kwa nini hoja mbaya zinapita bungeni. Ile "ndiyoooooooooooooo" unategemea itazuiliwa na hoja za wachache wenye kufikiri vizuri wakati wasema ndiyooo na walalaji wako wengi mjengoni?
 
Wamefanya nini tangible, kitu kinachoshikika, kinachooneka, unachoweza kunyooshea kidole ukasema kile pale?

Wameandika sheria gani, wamezuia sera gani mbaya, wamerekebisha sheria ipi, wamezuia matumizi gani wasteful?

John Mnyika, kwa mfano, amewahi kuandika nini duniani kikapita bungeni kikawa sheria?

Nashawishika kuamini kuwa hujui unachosema, kama unakijua basi una shida kubwa
 
Kwa mjibu wa maelezo kundi la watu ambao wamechangia mala chache kwamba ni watu wenye upeo mdogo wa kufikir! na ktk silo kind kuna mh Lowassa ambae anaham kubwa ya kuitwa rais wa jamhur ya watu wa Tz Kama bungen tu ameshindwa Je ataweza kuongoza nchi na kuutubia mbele ya maelfu ya watu ?
 
Mara nyingine kukaa kimya ni hekima kuliko kuongea usichojua na kudhihirisha kuwa una uwezo mdogo japo si dhambi kuwa na uwezo mdogo.

huna lolote,anayejua au mwenye uwezo na kitu hawezi kukaa kimya hata siku moja,aache jambo likwende shabagala bagala lazima nafsi itamsuta,una mtetea mbunge wako wa babati mjini chambiri maana yupo kwenye kundi la vilaza.
 
Nakurahisishia kwa kiswahili. Rejea kazi alizofanya kwa kipindi chote tangu miaka ya 90 alipoanza kuwa waziri, ndipo uhitimishe hoja yako. Kwa maana nyingine nimekupa homework badala ya kukurupuka na hoja nyepesi ya sijui kawa wa 5 kuchangia kidogo bungeni. Think!

Ukimaanisha kwamba kazi alishamaliza kati ya 1990-2010, kwa hiyo kati ya 200-2015 hakukuwa na haja ya kuwemo bungeni?
 
Mbowe simuoni jamani,naamini hata wangeweka hamsini bora asingekuwepo.Pia ni bora kukaa kimya kuliko kuropoka kama Lissu mapovu.
 
Uliyefanya research wewe ni mdau mkubwa wa chadema.....si dhani kama huh nao eti ni utafiti

Upo took bias

Huo sio utafiti wa mtu binafsi mkuu, hiyo ni taarifa ambayo imetolewa na ofisi ya Bunge na iko kwenye tovuti ya Bunge.
 
Ambao hawakuchangia kabisa wako wapi? Maana humo kuna Dewji, Airo na wengine. Lakini pia mtoto wa mfalme hawezi kukosa kwa waliochangia kidogo

Hawa wanachangia kwa pesa (mtonyo)majimboni mwao sio michango ya maneno tu ni vitendo.
 
Mara nyingine kukaa kimya ni hekima kuliko kuongea usichojua na kudhihirisha kuwa una uwezo mdogo japo si dhambi kuwa na uwezo mdogo.

Sasa MTU kama hana anachojua anafanya nini bungeni?
 
Back
Top Bottom