Babati Yetu
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 370
- 116
Wachagueni waimbaji wa bongo flava, hao ndio watawaletea maendeleo.
Sifahamu mwaka huu baada ya uchaguzi nani atakuwa mpinzani,sasa Majebere sijaelewa nani mpinza.
Wachagueni waimbaji wa bongo flava, hao ndio watawaletea maendeleo.
Michango yake ilijikita zaidi kwenye kuomba kifo cha baba yake kisijadiliwe!Mbunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa aliuliza maswali matatu ya nyongeza na kuchangia mara mbili.
KIJANA MWENZETU HUYU ANATUANGUSHA SANA, Nimeumia sana baada ya kuona takwimu hizi kwa kijana mwenzetu huyu.
Hivi kule kalenga hakuna matatizo hadi ukose cha kuuliza? Hivi kichwani kwako ni mtupu kiasi hicho hadi ukose cha kuchangia? Ni aibu!
Baba yako hakuwa hivi hata kabla ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Fedha (R.I.P Mhe Mgimwa)
Mmhhh! upande wa pili wengi uzao wa Ishmael
Lowassai mbunge wa Monduli kule Monduli amekamilisha kila kitu ndo maana hakuchangia
Mzee wa watu kachoka.... na kale kaugonjwa kake ka kutetemeka ndiyo basi tenaLowassai mbunge wa Monduli kule Monduli amekamilisha kila kitu ndo maana hakuchangia
Wanna jamvi katika takwimu za Leo za wabunge na michango yao bungeni
Lowassa ameangukia kundi LA wabunge wavivu bungeni
Je anafaa kuwa Mgombea urais ccm?