Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 9,506
- 14,367
salama wadau???
Nimerudi tena baada ya Ban ya wiki tatu pamoja tunaendeleza mapambano.
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku, ilikuwa ni habari ya waziri mkuu na ziara yake nchini Brazil katika hiyo habari nimeona msafara wa waziri mkuu magari yaliyokuwa yanatumiwa ni tofauti kabisa na misafara yake hapa Tanzania naamanisha hizo gari sio ghali kama wanazotumia hapa Bongo, na ukizingatia Brazil ni moja ya nchi kumi duniani..
Nawasilisha