Wabrazil hawarembi.......

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,482
14,349
salama wadau???
Nimerudi tena baada ya Ban ya wiki tatu pamoja tunaendeleza mapambano.
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku, ilikuwa ni habari ya waziri mkuu na ziara yake nchini Brazil katika hiyo habari nimeona msafara wa waziri mkuu magari yaliyokuwa yanatumiwa ni tofauti kabisa na misafara yake hapa Tanzania naamanisha hizo gari sio ghali kama wanazotumia hapa Bongo, na ukizingatia Brazil ni moja ya nchi kumi duniani..
Nawasilisha
 
Pole kwa kibano na karibu tena jamvini. Kumbe baada ya kusherekea birthday ulikula ban!?

Bila shaka mojawapo ya mambo atakayokuwa amejifunza huko Brazil kama ana nia ya dhati itakuwa ni matumizi ya magari yasiyo ya anasa kama anavyotumia hapa nyumbani.
 
Pole kwa kibano na karibu tena jamvini. Kumbe baada ya kusherekea birthday ulikula ban!?

Bila shaka mojawapo ya mambo atakayokuwa amejifunza huko Brazil kama ana nia ya dhati itakuwa ni matumizi ya magari yasiyo ya anasa kama anavyotumia hapa nyumbani.


nilikula BAN mkuu lakini haikunisumbua nilikuwa na ID nyingine kibao tuu, ama kweli atakuwa amejifunza yeye si anajifanya mtoto wa mkulima?
 
Karibu tena,serikali yetu ni sikivu kwahiyo wamekusikia na wamepata ujumbe watalifanyia kzi
 
nchi kumi tajiri duniani nadhani alimaanisha hivyo!kwani wewe hukosoma fill the blanks????unasoma paragraph then unajaza nafasi zilizowazi?huu ni uwanja wa great thinkers so suala kama hili rahisi unajaza mwenyewe au vp!
 
Ebu cheki gari la rais wa Brazil....
I can't imagine muhishiwa wa hapa kukubali kuendeshwa ndani ya Ford; yeye ndoto zake zilikua kuendeshwa ndani ya Beamer!!
 

Attachments

  • Brazilian_Presidential_Motorcade.jpg
    Brazilian_Presidential_Motorcade.jpg
    35.8 KB · Views: 62
Chunguza data zako vizuri, Brazil inahesabika kuwa moja kati ya mataifa yenye kipato kidogo (maskini) Labda ni matajiri wa kupiga gozi la ng'ombe.
 
Unajua ndo maana wahenga husema maskini akipata makalio hulia mbwataa
Watu wakishika uongozi ni kutaka vitu vya kifahari tuu mwanzo mwisho utazani uongozi kaanza jana assuming ni ulimbukeni but sivyo!
 
Naambiwa kuna mahotel ya kufa mtu kama Copacabana!
...Mzee Mwinyi alimpeleka hayati Hassan Diria copacabana acha jamaa karudi bongo ni masimulizi tuya huko na sharubu zake nchi masikini kama Tanzania inakwenda na msafara wa watu 100 wakati matajiri wanaenda watu 10 a 20 tu basi. Ushamba umetuzidi wabongo!
 
ni usafiri wa raisi wa Brazil huu na raisi wetu Jah kaya sijajua anatumia usafiri gani rasmi


Rais wetu Jah Kaya anatumia vyombo kama hivi hapa...
 

Attachments

  • Manhattan-Bmw-7-Series.jpeg
    Manhattan-Bmw-7-Series.jpeg
    107.3 KB · Views: 22
  • 800px-Bmw-f01-wiki-paultan.org.jpg
    800px-Bmw-f01-wiki-paultan.org.jpg
    101.7 KB · Views: 22
  • bmw-7-series.jpg
    bmw-7-series.jpg
    19 KB · Views: 23
Afu ajabu nchi kama Japan ambayo ni kati ya wafadhili wetu wakubwa, PM na hata mfalme wao anatumia hiki kijigari (Toyota Century Royal)!!!
 

Attachments

  • japan.jpg
    japan.jpg
    26.5 KB · Views: 21
  • 800px-Imperial_Processional_Car.jpg
    800px-Imperial_Processional_Car.jpg
    65 KB · Views: 26
Back
Top Bottom