Ingawa unachosema ni kweli, mimi nasema si wabeba maboksi wote ambao wako hivyo.
Na nisiende mbali. Mimi hapa prezdaa wa wabeba maboksi nikijaga vekesheni bongo huwa sipendi kabisa hata kuongea hicho Kiswahili. Kizungu ndo huwa nakitupa kule.
Kisukuma ndo huwa nakitumia sana na zaidi. Najua mwaweza msiniamini lakini ukweli ndo huo. Ni Kisukuma mwanzo mwisho tena kile cha Ntuzu kabisa.
Lekagi gete ugunigushela unene Nzagamba Ng'wanagingili u Ikungulyabashashi.
Jamani tuache utani baadhi ya Wabongo (waTanzania) waishio nje ya nchi wanamisifa usipime.
Yaani kama umebahatika kutembelea nchi za UK na USA au nchi zinazofanana na hizo nchi basi
utanielewa ninachotaka kuongelea hapa wakiwa wabongo kwa wabongo wanapenda sana kuzu
ngumza kiswahili na sana sana wakikutana na mtu wa nyumbani (Tanzania) ambaye amekwenda
au umekwenda kwa shughuli zako maramoja basi ndiyo kabisaaa yaani wakikuona tu wanapenda
sana kuzungumza au kuongea kiswahili na wewe.
Ila cha ajabu na kushangaza mtu huyo huyo au watu hao hao warudipo bongo kuja kusalimia ndugu
au kwa majukumu fulani fulani basi hawataki au hataki kabisa kuzungumza kiswahili na badala yake
anaongea ung'eng'e kuanzia mwanzo hadi mwisho au maneno 10 ung'eng'e na mawili kiswahili.
Sasa mimi najiuliza inakuwaje unapokuwa nchi za ung'eng'e unapenda kuongea lugha ya nyumbani
kwenu Tanzania alafu ukirudi Bongo kwa mapumziko ya wiki mbili au mwezi hutaki kuongea kiswahili.
Ukienda shopperz plaza unajifanya yes no,mlimani city yes no,kwenye daladala yes no ukikutana na
washikaji zako wa kitambo yes no nk nk nk.
Sasa hii yote ni nini? ni ushamba au ndiyo unataka tujue kuwa unatoka USA au Ulaya?
Ama kweli baadhi ya wabongo waishio majuu kwa misifa!!?
SIFA? wewe unatatizo lako. Jua mtu ukiishi miaka mingi nchi za nje unasaau lugha yako kwa kiasi fulani.
Hivo ukiongea kiswahili lazma uchanganye na lugha ingine, lugha ya ile nchi unayoishi.
Hata maneno ya kijapani au kirusi unaweza kuingiza ktk kiswahili, sio kingereza tu. Kwa mfano mimi najua kijerumani, kidenish, kingereza na kiswahili, nikiwa dar naweza kusikia waswahili akichanganya kishwahii na kijerumani, au kidenish, mimi nawaelewa wanachomaanisha ila waswahili wanakua hawaelewi. Na wale wanajisau kama wapo bongo hivo wanasau kuongea kiswahili sahihi.
Na sio wa majuu tu, mfano
wapare wanachanganya kipare na kiswahili, wamakonde wanaongea kimakonde na kiswahili, na hawa wanapenda sifa pia eti kuonesha wanatoka msumbiji? Au wamasai wanaongea kimasai wakichanganya na kiswahili na hawapia wanapenda sifa au kuonesha wanatoka kenya.
Kuna wengine wanafanya makusudi na kuna wengine wanakua washa zoea kuongea hivo.
cha ajabu miswada na sheria wanazozitunga utazani huwa wanafanyiwa na wengine au cha kusoma kwenye vitabu kigumu enheeeeWabunge wanapenda sana kuchanganya lugha...
Lakini, hilo la kutotaka kuongea Kiswahili au la kuchanganya Kiingereza na Kiswahili, kama ni tatizo, basi si tatizo la Wabongo waishio majuu tu.
Kuna wabongo wengi tu ambao hata majuu hawajawahi kufika lakini kila mara hawaishi kuchanganya lugha, hususan wale wasomi wasomi au wale wanaojiona wamesoma soma au wale wanaojiona wako matawi flani kimaisha au wale wanaoiona hiyo lugha ya Kiingereza kuwa ni lugha yenye hadhi ya juu kuliko Kiswahili.
Nani anabisha hilo?
Ingawa unachosema ni kweli, mimi nasema si wabeba maboksi wote ambao wako hivyo.
Na nisiende mbali. Mimi hapa prezdaa wa wabeba maboksi nikijaga vekesheni bongo huwa sipendi kabisa hata kuongea hicho Kiswahili. Kizungu ndo huwa nakitupa kule.
Kisukuma ndo huwa nakitumia sana na zaidi. Najua mwaweza msiniamini lakini ukweli ndo huo. Ni Kisukuma mwanzo mwisho tena kile cha Ntuzu kabisa.
Lekagi gete ugunigushela unene Nzagamba Ng'wanagingili u Ikungulyabashashi.
nilidhani wewe mpare !
Hebu fafanua.Alafu cha ajabu na kusikitisha zaidi huko majuu wanaishi na kuonekana raia wa daraja la tatu au la nne…alafu wakirudi
bongo wanajiona wao ndiyo daraja la kwanza na sisi tunaoishi hapa kila siku wanatuona second citizen…yaani full misifa
Sasa pata bahati siku moja ukutanenao mitaa ya London au Washington DC hakika utawaonea huruma…yaani unawaona kabisa kama hawa watu au huyu mtu hana kabisa amani na huku anakoishisasa uwakute mitaa yao corridor za mcity na uchumi house mama yanguuuu! ni shidaaa yan kule kila mtu mdosi daah
mibongo ndivyo tulivyo lkn.
Ha ha haaa mzee wa ligi umeingia…lakini niwe muwazi sitaweza kubishana wala kujenga hoja na wewe maana najuwa we jamaa ni mbishi nomaaaa.Another vacuous vitriolic vaseful of vomit. Pungent and putrid purposeless punditry, divisive doo-doo defecating from diseased duodenums, bileful binge from brainless brats, algorithmless alleles with zero zeitgeist shoaling in shameless schadenfreude.
Andika ulichoandika kwa Kiingereza.
Jamani tuache utani baadhi ya Wabongo (waTanzania) waishio nje ya nchi wanamisifa usipime.
Yaani kama umebahatika kutembelea nchi za UK na USA au nchi zinazofanana na hizo nchi basi
utanielewa ninachotaka kuongelea hapa wakiwa wabongo kwa wabongo wanapenda sana kuzu
ngumza kiswahili na sana sana wakikutana na mtu wa nyumbani (Tanzania) ambaye amekwenda
au umekwenda kwa shughuli zako maramoja basi ndiyo kabisaaa yaani wakikuona tu wanapenda
sana kuzungumza au kuongea kiswahili na wewe.
Ila cha ajabu na kushangaza mtu huyo huyo au watu hao hao warudipo bongo kuja kusalimia ndugu
au kwa majukumu fulani fulani basi hawataki au hataki kabisa kuzungumza kiswahili na badala yake
anaongea ung'eng'e kuanzia mwanzo hadi mwisho au maneno 10 ung'eng'e na mawili kiswahili.
Sasa mimi najiuliza inakuwaje unapokuwa nchi za ung'eng'e unapenda kuongea lugha ya nyumbani
kwenu Tanzania alafu ukirudi Bongo kwa mapumziko ya wiki mbili au mwezi hutaki kuongea kiswahili.
Ukienda shopperz plaza unajifanya yes no,mlimani city yes no,kwenye daladala yes no ukikutana na
washikaji zako wa kitambo yes no nk nk nk.
Sasa hii yote ni nini? ni ushamba au ndiyo unataka tujue kuwa unatoka USA au Ulaya?
Ama kweli baadhi ya wabongo waishio majuu kwa misifa!!?
Another vacuous vitriolic vaseful of vomit. Pungent and putrid purposeless punditry, divisive doo-doo defecating from diseased duodenums, bileful binge from brainless brats, algorithmless alleles with zero zeitgeist shoaling in shameless schadenfreude.
Ha ha haaa! mkuu tusiende mbali…naomba uniambie maana halisi ya hilo jina. Hebu lisome tena mkuujina lako tu linaonyesha unavyopeda sifa.... kweli wabongo kwa misifa, hakuna mwingine