..Wabongo tuwe wastaarabu...khaaaah


Hawa watakuwa mashabiki wa Simba tu
 
inakera sana , hapo watu wazima wanataka wasimamiwe mpaka chooni yani wanataka chooni kuwe na gari la maji washa na FFU kama 10 hivi.
 
walibidi watengeneze na vyoo vya shimo ili kwa wale wavivu wa kuflash waende uko.
 
Inaezekana kunasababu iliyowafanya hao jamaa kukojoa hapo mahali, mtoa maada hukuipata hyo?
..Mkuu uhangaike kutafuta sababu ikusaidie nini na jambo lishafanyika!. Hapa tunaelimishana tuwe wastaarabu, tumelilia uwanja tumepata, tuwe wastaarabu tuutunze. Nukta.
 
Hata
hayo masink yakunawa mikono ni mabovu na hayafanyiwi matengenezo,. Kwa
hiyo mtu hata akinawa mikono maji yatatuama kwenye hayo masink... Bongo
bwana kila sehemu vidonda
walikuwa wanapima uwezo wa ma sink
 
Dah haya huwa yanafanana ndo maana kaamua kuweka hapo!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…