Wabongo na uwajibikaji vs lawama

Wabongo na uwajibikaji vs lawama

Wabongo wengi tunapenda penda lawama sana , kuliko uwajibikaji, kwa mfano mfupi tu angalia hata humu JamiiForums .

Kuna nyumbu kazi yao ni kulalamika nyuzi ya jf kwa sasa zimekua za kijinga, ila ukiangalia hawana mchango wowote wa maana wa kuleta nyuzi makini .

Watu wa aina hii ndio majinga ya mwisho yanayokwamisha taifa , mbwa takataka kabisa🚮

Note: hapa nimewa rosti na sio malalamiko
Malalamiko FC
 
Back
Top Bottom