Kuna nyumbu kazi yao ni kulalamika nyuzi ya jf kwa sasa zimekua za kijinga, ila ukiangalia hawana mchango wowote wa maana wa kuleta nyuzi makini😀😀😆Wabongo wengi tunapenda penda lawama sana , kuliko uwajibikaji, kwa mfano mfupi tu angalia hata humu jamiiforum .
Kuna nyumbu kazi yao ni kulalamika nyuzi ya jf kwa sasa zimekua za kijinga, ila ukiangalia hawana mchango wowote wa maana wa kuleta nyuzi makini .
Watu wa aina hii ndio majinga ya mwisho yanayokwamisha taifa , mbwa takataka kabisa🚮
Kubali tu bwashee.Sijalalamika bwashee 😅 hapa nimewa rosti vilaza tu
Mbona hana shida bwashee 😆Huyu wa kuitwa Hance Mtanashati a.k.a Chuchu hans ndiye wa kwanza kulalamika JF nzima.
Natumia fursa hii kumtaka abadilike. 😎
Ni Suluhisho sio Suruhisho.Mkuu unajidhalilisha tu.
Kwanini usiwe suruhisho