Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,848
Kumbe huku mamaafacebook anagawa dozi hehehehe mimi napita tu, usinipige na misemo yako!
Last edited by a moderator:
Mwanaume bila hela sawa na baunsa shoga
Kuna watu fani zao hizi
Uganga ungekua dili ungeona bango "Mganga kutoka Moshi". cc miss chagga.
Sina nyota ya paka kupendwa na wachawi, nina nyota ya pesa kupendwa na kila mtu.