mkund* hauna kisu ila unakata mavi
Mjini msingi pesa...........kiuno peleka Twanga.
Mjini msingi pesa...........kiuno peleka Twanga.
Anaekupenda hana alama akishakutenda ndo utaisoma
unaandaa mechi uwanja una maji atakutaka nani!!
ama kweli shimo la panya halizibwi kwa mkate.
Mrs umetisha.
Kumlinda mwanamke no sawa na kulinda bahari.Unalinda kigamboni wenzako wanachota Bagamoyo.
mkono mtupu haulimpwi.mti wenye matunda ndiyo wenye kupopolewa na mawe.