Uchafu umekujaa,.. kwako sabuni bomu na dawa ya mswaki superglue
mamaafacebook uko vizur hii ni mipasho loooo
Mganga haagizi dagaa
Hata Malaya alikuwa bikra
hata ukinihukumu huna moto wa kuniunguza wala pepo ya kuniingiza
mamaafacebook uko vizur hii ni mipasho loooo