ndorobo mkuu
Member
- Oct 26, 2014
- 89
- 29
Mamaafacebook weeeee!! We ni mjukuu wa bi hindu nn maana una misemo hatareeeeeeee😀
hapo kweny bluu --->ndege
wembamba wa reli lakini treni inapita
Mamaafacebook weeeee!! We ni mjukuu wa bi hindu nn maana una misemo hatareeeeeeee😀
14. Ulieokota nae kuni ndie utakayeota nae moto
Mama Facebook umetishaa sana hahaha
Hii ipo kwenye gar kubwa la mizigo!!!
"Kwa hisani ya watu wa marekani..!!!!"
Ahhha
Ya mungu mengi ya kuku mayai
wivu kidonda ukiushiriki utakonda
Utamu wa samaki kichwa
Mwanaume bila hela sawa na baunsa shoga
Maneno ya mnafiki sio traffic
Hivyo hayanismamish kwenye foleni