suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Leo kweli #mamaafacebook umefikishwa mahhala pako!!
kosea mke wa kuoa uone ugumu wa maisha
Leo kweli #mamaafacebook umefikishwa mahhala pako!!
Kumbe huku mamaafacebook anagawa dozi hehehehe mimi napita tu, usinipige na misemo yako!
Tanga hakuna mapenzi bali mazingaombwe.
Mvuta bangi hana akili kwani brain cells zote kaziua kwa pollution
Chuki nichukie roho yangu niachie mwenyeweeee
Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake
Usitake ugomvi wa mawe wakat unaishi kwenye nyumba ya vioo
moyo wangu upo shwari sishindani na mjinga
wallahi mie jeuri mdomo wangu nafunga!!!
:d:d:d:d:d