Eeeehe!! Hebu ngoja wachaga tupite hiviii=====>
Eti inamaji mengi Mpaka mashahidi wa Yehova wanaogelea!!
1. Gari la kuvutwa haliovateki.
2. Mganga haagizi tembele.
3. Wimbo wa taifa haupigwi
disko.
4. Feni haiwashwi beach.
5. Mbwa hanenepi miguu.
6. Mjini shule, kijijini tuition.
7. Heshima pesa,shikamoo
makelele.
8. Hata bibi alikuwa kijana.
9. Mshikaki hauchomwi kwa
jiko la gesi.
10. Kipara bila pesa ni kovu.
mwanaume pesa mapenzi tanga.
Kisu kinakata, ila hakina diwani.
ya mitaani uyajue wewe na yako ayajue nani??
Mwanamke ni Class, down to earth achia vumbi...!!
unatafuta housegirl? unatafuta mke?
11. kula ujana uone tabu kumeza uzee
12. masikini hafulii
Unaniongelesha kiinglishi, ulinisomesha wewe
Kama maisha ni safari, basi uhai ni castle.
13. Sina habari semeni mwisho mtatahayari