suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Lol bahari haipigwi deki
Ujanja wako wa dhahabu kung'aa sikioni ukidondoka chini huonekani huna thamani
Lol bahari haipigwi deki
Uganga ungekua dili ungeona bango "Mganga kutoka Moshi". cc miss chagga.
Namlinda kama mboni nampenda taaabani
Anaekupenda hana alama akishakutenda ndo utaisoma
Yalaaaaa kama memeee navyompenda Daktari...
Unaniacha hoi we mwana, manenoo hayoooo...
Umetisha mkuu!Mwanaume ni kumwaga ndani, "withdrawal" achia ATM..!!
Asanteni kwa misemo jamani maana leo nilikuwa nachat na mtu basi nimemtoleaje misemo hd kanyoosha mikono juu kumbe mwenzio naiga tu hapa.
Mwambie hivi
Darling njoo tule tikiti
Tuwatie waja dhiki
Hii naomba imfikie kama ilivyo....Tena kwa kuongezea
Tuwanyime na usingizi
Wajue hatuigizi....
Njoo Docta wangu nikupe Mahaba
Ule upate kushiba
Wenye roho mbaya wafe na vijibaaa.....!
nimekubali hawakuwez mkuu
Wenzio wanachimba migodi wapate dhahabu
Wewe unamchimba asie na tabu
Utapata aibu
Ahhhhha wauuuuuuwe
Pekepeke za jiran hazkutoi ndani
raha ya mechi baooooo
Nashkuru kama nimekuchimba "msemo" ila uswahilini mna gharika sa masihara.
Nashkuru kama nimekuchimba "msemo" ila uswahilini mna gharika sa masihara.
Hata mbwa ana makinda lakini hawez kua spika wa bunge
Aaah shost weee
Nampenda kitikiti
Mwengine simtaki
Nataka nimdhibiti
Nje awe hatoki...
Nina mahaba ya dhati...kama scrubu nati......