Wabongo kwa misemo mimi hoi

Wabongo kwa misemo mimi hoi

Mwanaume ni kitambi...cubes achia Royco.


1. Gari la kuvutwa haliovateki.
2. Mganga haagizi tembele.
3. Wimbo wa taifa haupigwi
disko.
4. Feni haiwashwi beach.
5. Mbwa hanenepi miguu.
6. Mjini shule, kijijini tuition.
7. Heshima pesa,shikamoo
makelele.
8. Hata bibi alikuwa kijana.
9. Mshikaki hauchomwi kwa
jiko la gesi.
10. Kipara bila pesa ni kovu.
 
Back
Top Bottom