Wabongo hii picha inatufundisha kitu gani?

Wabongo hii picha inatufundisha kitu gani?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10361408_478608675617814_8005150800285244036_n.jpg


Mzee kama huyo anajituma halafu unamkuta kijana ana nguvu zake anaomba omba, kujituma hataki unafikiri mwisho
 
Mzee kama huyo anajituma halafu unamkuta kijana ana nguvu zake anaomba omba, kujituma hataki unafikiri mwisho

Na kwa upande mwingine inatufundisha kutumia fursa vizuri kila zinapojitokeza. Usingoje mpaka uzeeke ndio uanze kuwaza kufanya mambo ya maana. Kwa umri huo kama angejiapanga vizuri angekua anafanya kazi lakini sio hiyo ya kujiua.
 
Wazee kama hawa Huko Tanzania ndo wale waliokuwa waaminifu kwa Rais wa kwanza Nyerere walitumikia Taifa bila kuliibia lakini sa hv kijana tu anamiliki mambo makubwa uliza alipoyapata.......
 
Kuna vijana huwa wanapitapita hasa kwenye mabaa, wanakuwa na mlémavu kwenye wheel chair akiombaomba...
 
MziziMkavu eti wahindi ndio watu masikini zaidi duniani?
Sio tu kwamba India

ndio masikini duniani wa kutupwa bali nchini India kuna maajabu ambayo huwezi kuyaona

katika nchi nyingine duniani zaidi ya kwenda kujionea mwenyewe Maajabu nchini India. India

kuna idadi kubwa ya Watu duniani baada ya Taifa la china linalofuata ni Taifa la Wahidni ndio

lenye idadi kubwa ya watu duniani ajabu ni kwamba Serikali ya india sio masikini , masikini ni

wananchi wake Serikali ina ngvu zam kijeshi ina Mtambo wa nyuklia sasa utasema Serikali ni

masikini? Wanaoteseke ni Wanachi wake hiyo india lakini Serikali haina shida yoyote ile. Kwa

mfano sisi Wa-Tanzania tupo wadogo na Wavivu kufanya kazi ni wazembe n awazurururaji

tunapenda tukae vijiweni kazi yetu ni umbea kutetana na kusema maneno ya uongo pamoja

na kuleta fitina ndani ya familia hatuna kitu kingine zaidi ya hicho au mambo ya ulevi ukahaba

ombaomba ndio imezidi na kupenda kukaa mijini pasipo na kufanya kazi Tunependa misaada

kila mahali na kuomba omba mpaka Serikali yetu inaomba omba kama tulivyo sisi Wananchi

wenyewe.
 
Ooyooo sadakta na umenena na mwenye macho hambiwe tazama na mwenye masikio haambiwe tazama na nusu karine india wanatupa sadaka na misaada lakini wao ni wako hoi sana na hapa bongo yatakuwa kama india maana vijana wengi wapo hapa dar tena siku nyingi wapo hapa na hata akiba ya kuweka benk ni tabu wao kazini kushiba asubuhi na mchana na kinauli cha kurudi jioni na asubuhi tu ndivyo wanavo utumea ujana wao na hunena wao hawatakuwa na uzee ni ujana tuu basi
 
OOH NO NO kajituma uhai wake wote hadi BUSHA limemteremka !! very pole babu..... maisha India !!
 
Back
Top Bottom