Malipo kwamungu
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 574
- 86
Traffic police bongo lazima wamkamate kwa kosa la kuendesha mkokoteni ktkt ya mji, hakuvaa kofia ngumu, hana tlb, hakupiga rangi,n.k! police wa bongo muogopeni Mungu
Ana kitenesi babu
Kwa mimi mkuu utafiti ngoja nijiongeze kidogo,si kila wenye rangi hiyo wanapatikana INDIA inaweza kuwa huyo mzee akawa wa SRI LANKA au BANGLADESH.MziziMkavu eti wahindi ndio watu masikini zaidi duniani?