Wabongo acheni kukariri maisha

....Mambo yote chini ya jua ni ubatili na kulishana upepo...
 
Kuna jamaa yang alikaa na mwanamke miaka 11 bila kufunga ndoa,, wakajaaliwa watoto, walijenga nyumba, mambo flesh kabisa,, sijui nn kimewakuta,,

Hivi sasa mwanamke anataka nyumba iuzwe wagawane,, mwanamke anadai hakuolewa na hana ndoa 🤣 kapigilia msumari na kusema watoto si wa jamaa yetu,

Haya mambo yasikie tu,

Huyu mtoa mada anaonekana ana magoma mengi anayachakata🤣
Akifunga ndoa sheria itambana😁
 
SIFUNGI, SADAKA NATOA KWA WASIOJIWEZA NA WAHITAJI HATA MITAANI WAPO SIO LAZIMA NIMPELEKEE 10% MCHUNGAJI
Genius Punguza maarifa basi kidog uelewe. Mambo ya imani hayapo ivyo kama unavyo fikili ki kawaida ina kupaswa uamini kwanza ndo uongee hiicho unacho kiongea bila hivyo usijadili maswala ya imani kama wew uamini uwezi kuwa na hoja za kuwambia wanao amini hasa katika kweli.
 
Acha ngonjera wewe,funga ndoa watu tule cha mtume[emoji23][emoji23]

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Safi.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
MIMI NDOA SIFUNGI, FUNGENI NYIE
 
Kuna jamaa yangu ndoa ina miezi mitatu tuu kutwa kwenda kusuluhisha Kwa wazee, mpaka anasema isingekua hii ndoa ningeachana nae, ndio ishakula hiyo
 
Mkuu, umesema kwa busara, na umeeleweka, vema Sana, ilaa pia kipimo upicho mpimia mleta mada , utumie kupimia kanisa ,

je wanalo fanya kanisa ni njia iliyo nyoofu kwa kufuata msingi wa maandiko ya kitabu Cha Imani? (Biblia).
Kama tuta mhukumu ,kwa muktadha wa serikali , na kanisa Kama watakavyo , Basi tutamuona ana makosa Sana.
Ila Kama Ni Kumpima pia kwa muktadha wa kijamii na Imani (Kuwa na hakika na bayana kwa yasio onekana) ,mwamba yupo vizuri na Hana kosa.
Na yupo kwenye ndoa ilio kamili Wala Hain mawaa na Mungu ameikubali (Maana pande zote mbili zimeridhia kwa maana ya wazazi, na mahari watu wamekula).

Kwa Watu wa Kanisani huko, Kazi ya utumishi wa Mungu ni kuwaatoa , gizani na kuwaleta kwenye Nuru kwa njia ya Imani. Si kutoa hukumu na kufanyia ugumu watu kumkaribia Mungu , kwa kigezo Cha Ubatizo, Kipaimara na Ndoa.
Hivi inawezekanaa vipi mtu, anyimwe kufungishwa ndoa ya kanisa , Kisa Hajitokezi Kanisani [emoji16], Hajapata Ubatzo wala Kipaimara ? Lengo ni Nini ?
Hivi wewe, mchungaji na Baraza lako,mliotunga tunga sheria sijui ni taratibu kumzia mtu kufunga ndoa na mwanamke ampendae , kwa kigezo Cha kutokufungama na kanisa , Je unahakika ndivyo Mungu anavyo taka kuwa ? Je Kama kanisa, Jambo hili , linatofauti gani na lilee la kupokea msamaha wa dhambi ,kwa malipo ya Cheti [emoji3] ndio uonekane umesamehewa ? (Historia ya kanisa).
Upande wa pili kule , wakikuona tu ,umepenyeza hata kwa bahati mbayaa unapigwa Cha mkeka kuhalalisha [emoji1490],
Nivipi huku kwa Yesu wangu Mambo Ni mazito Sana kwenye Jambo la maana Kama hili , kwa vigezo vya bahasha za ahadi ,sadaka,jumuia,kipaimara, ubatizo nk ...?
Huu je ni mpango wa Mungu ?

Ndugu mleta mada, kula matunda mema ya ndoa yako halali kabisaa.
Ni ndio ambayo haina mashaka ndani yake hata kidogo.
Husihuzunishwe Wala kuyumbishwa na vyeti vyeti , vyenye mlengo nje na Imani ya kweli ya kristo Yesu na Mungu baba na Roho wake.
Chapa kazi , tunza familia, baraka Ni nyingi mnoo.
 
Nashukuru mkuu naomba nikujibu kama ulivyouliza, Kwanza lazima tukubali kuwa ndoa ni mpango wa Mungu, na Mungu aliweka makuhani yeye mwenyewe ili wawe wapatanishi kwahiyo ndoa ni mpango wa Mungu, lakini utaratibu ni mpango wa wanadamu, na huo utaratibu unakubalika kwa Mungu maana maandiko yanasema lolote mnalolipanga duniani na mbinguni limepangwa, hapo unaweza kuelewa.

Sasa mtu kuishi na mwanamke bila ndoa inaweza ikawa sahihi lakini iko kinyume na imani ya kikristo, naona wengi wanazungumza kutokana na madhaifu ya hao wachungaji na wainjilisti pamoja na hayo haiondoi kuwa kuishi na mwanamke bila ndoa kwa imani ya kikristo sio sawa, pengine inaweza kuwa sawa kwa imani zingine huko sijui. Yaani ni sawa na mtu kuishi na mtoto wa watu bila kumtolea mali au kujitambulisha kwao hilo kitamaduni na kimila haliko sawa hata kama tunaona watu wanafanya ila halijakaa sawa naamini hapo umenielewa

Kuhusu ubatizo yes ni lazima muumini mkristo abatizwe hiyo ndio maana ya kuwa mkristo kama hautaki kuwa mkristo sawa kubatizwa sio muhimu mbona Waislam hawabatizwi lakini ninaamini wanautaratibu wao, kuhusu sijui bahasha na sadaka bado ni utaratibu wa kanisa husika
 
Wanachokifanya ni kuwatenga wasioenda kanisani, badala ya kuwatengenezea mazingira ya kurudi kundini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…