Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,376
- 27,316
Pitia comment kasema ukilipa una subiri miaka sita ndo unakuwa mwema na kurusiwa kukopa tena.Ina muda inafika miezi 6 sasa
Pitia comment kasema ukilipa una subiri miaka sita ndo unakuwa mwema na kurusiwa kukopa tena.Ina muda inafika miezi 6 sasa
Duh kesi ishakuwa ngumu inamana hupewi tena sehemu yoyote ilePitia comment kasema ukilipa una subiri miaka sita ndo unakuwa mwema na kurusiwa kukopa tena.
Itakuwa hivyoDuh kesi ishakuwa ngumu inamana hupewi tena sehemu yoyote ile
Pole sana mkuu, hii tabia hawakuwa nayo kabisa ila naona wameiga kutoka kwa hawa online loans( x-pesa), (L-pesa) na n.kNimeongea na Voda wakanipa no hii
022276042 ya watu wa Crdb. Wakaniambia kama umekopa songesha,nipigie tafu,m-pawa, au hata mgodi mkaelewana kuwa utalipa tarehe 30 (mfano) na matokeo yake ukapitiliza siku hata kama ni Moja au zaidi basi Taarifa zako zinatumwa kuwa ni msumbfu hivyo utakaa miaka6 bila kukopesheka!!
Kama Kuna matawi na mikoni kama mwanza au kahama (shinyanga) nimabiwe maana Nina Mpango wa kuchukua mkopo tena
Sasa kuna mahala wapi jasema yy ni mwajiriwa wa serikali au kila mtu ni mwajiriwaUnatumia njia gani kuomba mkopo?kupitia Pepmis utumishi?au umeenda Direct Bank?
Nishalipia nilikuwa nimesongeshewa kwenye laini anayotumiwa mke wangu na Sasa nikalipa. Nilisajiri Kwa NIDA yangu
Kumaliza deni haifuti record chafu ya kwamba wewe si mlipaji mpaka nguvu itumike. Kama unategemea kuja kukopa hasa sisi vijana ni muhimu ku clear madeni kwa wakati.Wakuu heshima yenu.
Nipo nafanya process za kukopa mkopo mdogo wa miezi sita tu maana Nina jamu ya chapu hapa.
Lakini Cha ajabu naambiwa sifa zangu ni mbaya..... msg hii hapa
"Dear customer, you have a negative status in credit bureau. please clear your previous loan to qualify for ......."
Basi nikakumbuka nadaiwa songesha na m-pawa nikawa nimelipa chapu Hadi pesa ikabaki Bado.
Lakini Kila nikiomba naambiwa vile vile je nitumie njia Gani kupata huo mkopo?
Nimeongea na Voda com nikawauliza kama Kuna huduma yoyote Ile nadaiwa iwe songesha,M-pawa au mgodi wamesema hamna sidaiwi deni lolote lile Sina Kwa kifupi Sina Baya na Voda.
Situmii laini nyingine tofauti na Voda!
Naomba mwongozo namna ya kufanya Ili nipate mkopo.
Au baada ya kulipa hayo madeni ya songesha nisubiri muda Gani watakuwa wame update?
Ahsantee sana
Kwanini mkuuHili limeniliza sana🥲🥲😭😭 na tukome
Hapana mkuu Wala sijui hata namna wanavyokopa hizo app. Ukweli naogopa madeni ya kuweka dhamana. Hapa nakopa Kwa kupitia salary yangu tu basi.Umesha kopa sana kwenye hizi App mzee hiyo ndio changamoto kk km ulisha kopa na NIDA yako sahau kupata , Saiz detail zako kila app wanazo km unadeni huko lipa tuu
Hawanidai tenaKwani wao Voda wanasemaje
Ahsantee sana mkuu ila nilkuwa nahitaji kukopa Kwa kupitia simu bank...pia nakopa Kwa kukatwa Basic salary yangu Kwa makato ya 13% ndani ya miezi6 au hata mwaka.Fanya hivi, andika barua kwa meneja wa bank hiyo unayotaka kuchukua mkopo mueleze ulikopa Songesha ama tigo eleza sababu zilizokufanya usilipe huo mkopo huko songesha kwa wakati na andika huo mkopo unaotaka kukopa sasa utaulipaje kwa wakati, ambatanisha na muamala ambao unaonesha umemaliza kulipa hilo deni huko Songesha n
then nenda kwa Afisa mikopo wa hiyo bank unayotaka kukopa muonyeshe hiyo notification ambayo inazuia usipate mkopo mkabidhi na hizo documents/ barua na huo muamala unaoonesha ume clear deni .... afisa mikopo ataclear hiyo notification na utaruhusiwa kupata mkopo . Fanya hivyo utafanikiwa
Nimejifunza sana mkuu kumbe ni hatari Hivi.Kumaliza deni haifuti record chafu ya kwamba wewe si mlipaji mpaka nguvu itumike. Kama unategemea kuja kukopa hasa sisi vijana ni muhimu ku clear madeni kwa wakati.
Kwahiyo nilienda finca watanielewa? Ila Mimi nakopa Crdb tu kupitia mshahara wangu.Pole sana mkuu, hii tabia hawakuwa nayo kabisa ila naona wameiga kutoka kwa hawa online loans( x-pesa), (L-pesa) na n.k
. Kama unashida kubwa Ebu jaribu (kwa mwanza na kahama, ila shy town kule hamna ofisi hizi ) finca au mabena,, 🙂🙂
Mimi ni mwajiriwa na ninakopa Kwa kukatwa Basic salary yangu. Nakopa Hela ndogo tu m3Sasa kuna mahala wapi jasema yy ni mwajiriwa wa serikali au kila mtu ni mwajiriwa
Kumbe😃😃😃Ndio, songesha, mpawa,kamilisha na ndugu zake wengine usipolipa au ukilipa kwa kuchelewa taarifa zako zinaenda credit bureau kwasababu unatumia namba yako ya nida kuomba mkopo,so unawekwa kwenye list ya watu wasumbufu na wasikopesheke, ukija kwenda kuomba mkopo sehemu hasa benki na microfinance( kuna microfinance wanaangalia credit info ya mteja kabla hawajampa pesa).
Ukikutwa tu kule credit info ni red maana yake wewe ni high risk, unaweza usilipe mkopo wako so wanaachana na wewe.Na mara nyingi sana watu ambao utakuta credit info hawako vizuri, huwa wanakuja kuwa wateja wasumbufu(vimeo), kwa sababu jiulize tu kwa nini mtu akope songesha halafu asilipe? ,maana yake amepanga kutapeli.
Hivyohivyo akienda na kwenye taasisi nyingine atakua mteja mzuri kwa muda fulani baadae ana default.
So watu wawe makini hasa unapotumia nida yako kuomba mkopo bora ulipe tu kuna siku utabanwa na shida ya muhimu halafu unakosa hela kisa ulitapeli 20,000.