Wabobevu wa mikopo naomba msaada wenu hapa

Wabobevu wa mikopo naomba msaada wenu hapa

Ni kweli Jf sikuhizi sio sehemu ya kusaidika kwa haraka kama ilivyokua zamani, unaweza kuomba msaada kwa issue serious sana halafu watu wataleta kebehi, ujuaji na kujiona wao wamepatia sana maisha au hawajawahi kupata changamoto, sijui ni watoto ndio wengi sikuhizi au shida nini, naona hata wale watu wanaojielewa wanaamua kukaa tu kimya wasichangie mada maana upuuzi umekua mwingi sana.
Uko sahihi watoto kwa sasa hivi ni wengi sana mimi nimekuwa mfuatiliaji wa jukwaa hili tangu mwaka 2013 kulikuwa na madini sana
 
Wakuu heshima yenu.

Nipo nafanya process za kukopa mkopo mdogo wa miezi sita tu maana Nina jamu ya chapu hapa.

Lakini Cha ajabu naambiwa sifa zangu ni mbaya..... msg hii hapa
"Dear customer, you have a negative status in credit bureau. please clear your previous loan to qualify for ......."

Basi nikakumbuka nadaiwa songesha na m-pawa nikawa nimelipa chapu Hadi pesa ikabaki Bado.

Lakini Kila nikiomba naambiwa vile vile je nitumie njia Gani kupata huo mkopo?

Nimeongea na Voda com nikawauliza kama Kuna huduma yoyote Ile nadaiwa iwe songesha,M-pawa au mgodi wamesema hamna sidaiwi deni lolote lile Sina Kwa kifupi Sina Baya na Voda.

Situmii laini nyingine tofauti na Voda!

Naomba mwongozo namna ya kufanya Ili nipate mkopo.

Au baada ya kulipa hayo madeni ya songesha nisubiri muda Gani watakuwa wame update?

Ahsantee sana
Inawezekana umechelewesha mkopo wao.so umekuwa mteja mbaya.au pia subiri masaa 24 yapite ndiyo taarifa zako zita update huko kwenye credit beural
 
Mimi nikajua unazungumzia mamilioni kumbe ni 43k ndiyo umeanzishia uzi?
Mkuu mkopo ninao omba ni m3 tu hiyo commet nilimanisha songesha nilikuwa nadaiwa 17k wala sio 43k kama inavyosomeka hapo ni makosa nilifanya ni 17,650/=tu na nimelipa
 
Zile sms za voda na huduma zake za vitisho...tunazipuuzia jamaa anakopesheka mpaka m200akajichanganya mpawa akapitisha mda na kupuuzia mikwara siku anaomba benki M50 chap akanunue tumbaku ya dili...aligonga mwamba wakamwambia anadaiwa akalipa wakataka clearence certificate kutoka mpawa...na inatolewa na branch..ya benki flani Ina tawi mwanzan dsm...
 
Nielekeze hiyo ya mwanza nami nami niende
 
Wakuu heshima yenu.

Nipo nafanya process za kukopa mkopo mdogo wa miezi sita tu maana Nina jamu ya chapu hapa.

Lakini Cha ajabu naambiwa sifa zangu ni mbaya..... msg hii hapa
"Dear customer, you have a negative status in credit bureau. please clear your previous loan to qualify for ......."

Basi nikakumbuka nadaiwa songesha na m-pawa nikawa nimelipa chapu Hadi pesa ikabaki Bado.

Lakini Kila nikiomba naambiwa vile vile je nitumie njia Gani kupata huo mkopo?

Nimeongea na Voda com nikawauliza kama Kuna huduma yoyote Ile nadaiwa iwe songesha,M-pawa au mgodi wamesema hamna sidaiwi deni lolote lile Sina Kwa kifupi Sina Baya na Voda.

Situmii laini nyingine tofauti na Voda!

Naomba mwongozo namna ya kufanya Ili nipate mkopo.

Au baada ya kulipa hayo madeni ya songesha nisubiri muda Gani watakuwa wame update?

Ahsantee sana
Fanya hivi, andika barua kwa meneja wa bank hiyo unayotaka kuchukua mkopo mueleze ulikopa Songesha ama tigo eleza sababu zilizokufanya usilipe huo mkopo huko songesha kwa wakati na andika huo mkopo unaotaka kukopa sasa utaulipaje kwa wakati, ambatanisha na muamala ambao unaonesha umemaliza kulipa hilo deni huko Songesha n
then nenda kwa Afisa mikopo wa hiyo bank unayotaka kukopa muonyeshe hiyo notification ambayo inazuia usipate mkopo mkabidhi na hizo documents/ barua na huo muamala unaoonesha ume clear deni .... afisa mikopo ataclear hiyo notification na utaruhusiwa kupata mkopo . Fanya hivyo utafanikiwa
 
Ndio, songesha, mpawa,kamilisha na ndugu zake wengine usipolipa au ukilipa kwa kuchelewa taarifa zako zinaenda credit bureau kwasababu unatumia namba yako ya nida kuomba mkopo,so unawekwa kwenye list ya watu wasumbufu na wasikopesheke, ukija kwenda kuomba mkopo sehemu hasa benki na microfinance( kuna microfinance wanaangalia credit info ya mteja kabla hawajampa pesa).
Ukikutwa tu kule credit info ni red maana yake wewe ni high risk, unaweza usilipe mkopo wako so wanaachana na wewe.Na mara nyingi sana watu ambao utakuta credit info hawako vizuri, huwa wanakuja kuwa wateja wasumbufu(vimeo), kwa sababu jiulize tu kwa nini mtu akope songesha halafu asilipe? ,maana yake amepanga kutapeli.
Hivyohivyo akienda na kwenye taasisi nyingine atakua mteja mzuri kwa muda fulani baadae ana default.
So watu wawe makini hasa unapotumia nida yako kuomba mkopo bora ulipe tu kuna siku utabanwa na shida ya muhimu halafu unakosa hela kisa ulitapeli 20,000.
Maana yake usipolipa siku ukilipa unaweza kupata mkopo ? Nna kimeo nivushe plus na riba ndo kubwa line sikumbuki nimeweka itabidi nikatengeneze nyengine..
 
Zile sms za voda na huduma zake za vitisho...tunazipuuzia jamaa anakopesheka mpaka m200akajichanganya mpawa akapitisha mda na kupuuzia mikwara siku anaomba benki M50 chap akanunue tumbaku ya dili...aligonga mwamba wakamwambia anadaiwa akalipa wakataka clearence certificate kutoka mpawa...na inatolewa na branch..ya benki flani Ina tawi mwanzan dsm...
Usipolipa wanakusaka ?
 
Mimi niliwakopa mgodi laki223,000/ uzuri laini ile nilisajiliwa tu na wakala sikuwa na nida kipindi hicho ile laini nikadumu nayo sana kama miaka3 wakawa wanajilengesha mara 45k ukikopa na jukipa kwa wakati wanapandisha hivyohivyo hadi ikafika 200k nikachukua asee kulipa ikawa kipengele kabisa mwisho nikapoteza simu ikawa ndo mwisho wa laini ile.
 
Back
Top Bottom