Wabobevu wa mikopo naomba msaada wenu hapa

Hiz songesha sio nzuri kukopa halafu hulipi maana bank ziungana na kampuni za sim sasa unaweza kuona unadaiwa na kampuni ya sim kumbe bank..... Kwa mtu mwenye malengo hupaswi kukopa na kukimbia deni
Kabisa Mimi Huwa sikopi ila wife ndo alisongesha na sikuambiwa Hadi mkopo ulipogoma ndo nikaanza kutafuta shida iwapi na Huwa natumia Voda tu
 
Wakuu heshima yenu.

Nipo nafanya process za kukopa mkopo mdogo wa miezi sita tu maana Nina jamu ya chapu hapa.

Lakini Cha ajabu naambiwa sifa zangu ni mbaya..... msg hii hapa
"Dear customer, you have a negative status in credit bureau. please clear your previous loan to qualify for ......."

Basi nikakumbuka nadaiwa songesha na m-pawa nikawa nimelipa chapu Hadi pesa ikabaki Bado.

Lakini Kila nikiomba naambiwa vile vile je nitumie njia Gani kupata huo mkopo?

Nimeongea na Voda com nikawauliza kama Kuna huduma yoyote Ile nadaiwa iwe songesha,M-pawa au mgodi wamesema hamna sidaiwi deni lolote lile Sina Kwa kifupi Sina Baya na Voda.

Situmii laini nyingine tofauti na Voda!

Naomba mwongozo namna ya kufanya Ili nipate mkopo.

Au baada ya kulipa hayo madeni ya songesha nisubiri muda Gani watakuwa wame update?

Ahsantee sanq

Usikope
 
Duuh kumbe ndo hivyo? Kwamba ukikopa huku songesha sijui mpawa usipolipa kwa muda mpk bank hukopesheki?
Ndio, songesha, mpawa,kamilisha na ndugu zake wengine usipolipa au ukilipa kwa kuchelewa taarifa zako zinaenda credit bureau kwasababu unatumia namba yako ya nida kuomba mkopo,so unawekwa kwenye list ya watu wasumbufu na wasikopesheke, ukija kwenda kuomba mkopo sehemu hasa benki na microfinance( kuna microfinance wanaangalia credit info ya mteja kabla hawajampa pesa).
Ukikutwa tu kule credit info ni red maana yake wewe ni high risk, unaweza usilipe mkopo wako so wanaachana na wewe.Na mara nyingi sana watu ambao utakuta credit info hawako vizuri, huwa wanakuja kuwa wateja wasumbufu(vimeo), kwa sababu jiulize tu kwa nini mtu akope songesha halafu asilipe? ,maana yake amepanga kutapeli.
Hivyohivyo akienda na kwenye taasisi nyingine atakua mteja mzuri kwa muda fulani baadae ana default.
So watu wawe makini hasa unapotumia nida yako kuomba mkopo bora ulipe tu kuna siku utabanwa na shida ya muhimu halafu unakosa hela kisa ulitapeli 20,000.
 
AIsee somo kubwa
 
Wewe ni msumbufu totally, huwezi kukosa mshikaji wa kukupa hiyo hela unayoitaka kama usingekuwa msumbufu 🤒
Ona Sasa huyu nae una bwetuka hata hujui. Nimesema songesha nilikuwa nadaiwa 17k tu Tena laini niliyo msajiria wife na hakusema kama anadaiwa kule Hadi pale nilipohitaji kuomba mkopo ndo nikaanza kuzuiliwa katika kuuliza nikaambiwa una madeni kwenye laini za simu. Nikamuuliza akakubali anadaiwa songesha nikalipa Ngoma Bado ikabuma.

Mimi nikiwa na issue ya chini ya milioni Moja Huwa nachukua salary advance tu kutoka Crdb basi sipendelei kukopa.
 
Ndio, songesha, mpawa,kamilisha na ndugu zake wengine usipolipa au ukilipa kwa kuchelewa taarifa zako zinaenda credit bureau kwasababu unatumia namba yako ya nida kuomba mkopo,so unawekwa kwenye list ya watu wasumbufu na wasikopesheke, ukija kwenda kuomba mkopo sehemu hasa benki na microfinance( kuna microfinance wanaangalia credit info ya mteja kabla hawajampa pesa).
Ukikutwa tu kule credit info ni red maana yake wewe ni high risk, unaweza usilipe mkopo wako so wanaachana na wewe.Na mara nyingi sana watu ambao utakuta credit info hawako vizuri, huwa wanakuja kuwa wateja wasumbufu(vimeo), kwa sababu jiulize tu kwa nini mtu akope songesha halafu asilipe? ,maana yake amepanga kutapeli.
Hivyohivyo akienda na kwenye taasisi nyingine atakua mteja mzuri kwa muda fulani baadae ana default.
So watu wawe makini hasa unapotumia nida yako kuomba mkopo bora ulipe tu kuna siku utabanwa na shida ya muhimu halafu unakosa hela kisa ulitapeli 20,000.
Mimi nimekoswa kisa 17k tu ila nimeomba kazini tuna Saccos yetu.

Nikifa MkeWangu Asiolewe pita hapa
 
Ona Sasa huyu nae una bwetuka hata hujui. Nimesema songesha nilikuwa nadaiwa 17k tu Tena laini niliyo msajiria wife na hakusema kama anadaiwa kule Hadi pale nilipohitaji kuomba mkopo ndo nikaanza kuzuiliwa katika kuuliza nikaambiwa una madeni kwenye laini za simu. Nikamuuliza akakubali anadaiwa songesha nikalipa Ngoma Bado ikabuma.

Mimi nikiwa na issue ya chini ya milioni Moja Huwa nachukua salary advance tu kutoka Crdb basi sipendelei kukopa.
Sasa kama imeshindikana unataka watu wakushauri vipi yani, this' why ukisoma comments, wengi wameleta kebehi kwa sababu ulicho kileta ni kichekesho.
 
Sikujua kama Huwa Kuna connection kati ya Simi na bank.

Hata hivyo humu Kuna watu wapenda mizaha tu siku zote hivyo hata ungeleta issue yenye u serious kiasi Gani kebehi lazima tu.
 
Ni kweli Jf sikuhizi sio sehemu ya kusaidika kwa haraka kama ilivyokua zamani, unaweza kuomba msaada kwa issue serious sana halafu watu wataleta kebehi, ujuaji na kujiona wao wamepatia sana maisha au hawajawahi kupata changamoto, sijui ni watoto ndio wengi sikuhizi au shida nini, naona hata wale watu wanaojielewa wanaamua kukaa tu kimya wasichangie mada maana upuuzi umekua mwingi sana.
 
Wakuu heshima yenu.

Nipo nafanya process za kukopa mkopo mdogo wa miezi sita tu maana Nina jamu ya chapu hapa.

Lakini Cha ajabu naambiwa sifa zangu ni mbaya..... msg hii hapa
"Dear customer, you have a negative status in credit bureau. please clear your previous loan to qualify for ......."

Basi nikakumbuka nadaiwa songesha na m-pawa nikawa nimelipa chapu Hadi pesa ikabaki Bado.

Lakini Kila nikiomba naambiwa vile vile je nitumie njia Gani kupata huo mkopo?

Nimeongea na Voda com nikawauliza kama Kuna huduma yoyote Ile nadaiwa iwe songesha,M-pawa au mgodi wamesema hamna sidaiwi deni lolote lile Sina Kwa kifupi Sina Baya na Voda.

Situmii laini nyingine tofauti na Voda!

Naomba mwongozo namna ya kufanya Ili nipate mkopo.

Au baada ya kulipa hayo madeni ya songesha nisubiri muda Gani watakuwa wame update?

Ahsantee sana
Fanya clearance na wathibitishe kwa barua kwenye hivyo credit bureau
 
Back
Top Bottom