Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,753
- 3,157
Kumbuka vizuri mkuuHahahaa Kwa watu sidaiwi mkuu
Kumbuka vizuri mkuuHahahaa Kwa watu sidaiwi mkuu
Hapana mkuu Sina tabia ya kukopa Kwa watu Baki hasa Huwa nikikwama nachukua salary advance tu mwaka Jana ndo nichukua m7 Kwa shemeji naye nilimlipa kabla ya muda wa makubaliano..basiKumbuka vizuri mkuu
Kwahiyo wananikomoa ni deni Moja Tena Ile laini Huwa anatumia wife kumbe alisongesha na akakaa kimyaaUshajazwa utalipa madeni na hupati mkopo
Kwani ukutumia hizo fedha unazolipia?Kwahiyo wananikomoa
Victoria apo karibu na makumbushoVictoria ya wapi mkuu
Kama ni songesha, basi ni vodocom wenyewe hakuna mwingine... Solution hapo ni kuongea nao ili wakutoe kwenye list ya miongoni mwa wasumbufu wa kulipa madeni. Kama upo Dsm Ikiwezekana Nenda makao mkuu mkaongee uso kwa uso.Nini kifanyike Ili nipate sifa ...nilikuwa nadaiwa songesha pekee.
Crdb Nina mkopo mkubwa ambao Huwa wanakata salary yangu Kila mwezi Wala hiyo haijawahi kuwa na changamoto yoyote
Wewe ilishawahi fanya hivo?Kama ni songesha, basi ni vodocom wenyewe hakuna mwingine... Solution hapo ni kuongea nao ili wakutoe kwenye list ya miongoni mwa wasumbufu wa kulipa madeni. Kama upo Dsm Ikiwezekana Nenda makao mkuu mkaongee uso kwa uso.
a.k.a kime0Kifupi wewe ni msumbufu
Nahitaji m3 deni lilikuwa si zaidi ya 17k tuKwani ukutumia hizo fedha unazolipia?
Nipo kahama kabisa huku mkuu ila nakushukuru sanaContact Us - Creditinfo Tanzania nenda hiyo ofisi iko pale victoria watakupa loan statements zako zoote kisha utaona ni wapi kuna shida utaenda ofisi husika kuchukua barua ya loan clearence letter ukiwaaletea utakopesheka tena
Ni Voda Hawa Hawa si wengineItakuwa kuna taasisi ilikurepoti CRB, hata kama umeshalipa ni mpaka ikakufute.
Wana jf mbarikiwe sana Kwa udadavuzi wa kina ila nipo mkoani huku (kahama)Victoria apo karibu na makumbusho
Ahsantee sana mkuu ngoja niwacheki mara hiiKama ni songesha, basi ni vodocom wenyewe hakuna mwingine... Solution hapo ni kuongea nao ili wakutoe kwenye list ya miongoni mwa wasumbufu wa kulipa madeni. Kama upo Dsm Ikiwezekana Nenda makao mkuu mkaongee uso kwa uso.
Mkuu Mimi ni muoga sana kukopa mgodi Hadi asubhi hii wamenitumia msg naweza kukopa hadi 375,000/= lakini hamna Huwa nikijiondoa kwenye namna ya kukopa nashitukia wanatumia txt zao Tenaa.k.a kime0
Nimeongea na Voda wakanipa no hiiKama ni songesha, basi ni vodocom wenyewe hakuna mwingine... Solution hapo ni kuongea nao ili wakutoe kwenye list ya miongoni mwa wasumbufu wa kulipa madeni. Kama upo Dsm Ikiwezekana Nenda makao mkuu mkaongee uso kwa uso.
Hiz songesha sio nzuri kukopa halafu hulipi maana bank ziungana na kampuni za sim sasa unaweza kuona unadaiwa na kampuni ya sim kumbe bank..... Kwa mtu mwenye malengo hupaswi kukopa na kukimbia deniKwahiyo wananikomoa ni deni Moja Tena Ile laini Huwa anatumia wife kumbe alisongesha na akakaa kimyaa
Bado wamegoma kukupa?Nahitaji m3 deni lilikuwa si zaidi ya 17k tu