Nitaenda Misaa yaTatu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2025
- 403
- 810
Wakuu heshima yenu.
Nipo nafanya process za kukopa mkopo mdogo wa miezi sita tu maana Nina jamu ya chapu hapa.
Lakini Cha ajabu naambiwa sifa zangu ni mbaya..... msg hii hapa
"Dear customer, you have a negative status in credit bureau. please clear your previous loan to qualify for ......."
Basi nikakumbuka nadaiwa songesha na m-pawa nikawa nimelipa chapu Hadi pesa ikabaki Bado.
Lakini Kila nikiomba naambiwa vile vile je nitumie njia Gani kupata huo mkopo?
Nimeongea na Voda com nikawauliza kama Kuna huduma yoyote Ile nadaiwa iwe songesha,M-pawa au mgodi wamesema hamna sidaiwi deni lolote lile Sina Kwa kifupi Sina Baya na Voda.
Situmii laini nyingine tofauti na Voda!
Naomba mwongozo namna ya kufanya Ili nipate mkopo.
Au baada ya kulipa hayo madeni ya songesha nisubiri muda Gani watakuwa wame update?
Ahsantee sana