Wabeba mabango Tabora wamkera Rais Magufuli

huyo bwana amefikia sasa kiwango cha kuchanganyikiwa sasa hivi anagombana na wananchi jana kawaambia washushe mabango hawakushusha akasusa akasema hatayasoma leo Singida wamemnunia kasema mbona mumenuna nadhani walilazimishwa na wenyeviti wa vijiji kuenda kumuona wakamuonyesha hasira zao na hiyo ni sample tuu nchi nzima ndivyo walivyokasirika na mtu mwenye lugha za kuwakejeli kushatumu kuwanyanyasa kuwatukana wanaona asiwapotezee muda
 
Mtwara+4.JPG
Aisee!
 
Yule mzee naamini hata akigombea ubunge atapata, maana ni mtaratibu na anajua kuongoza.

Sent from my Phillips Savy
Yuko vizuri sana yule jamaa, na pia ni mtu wa kazi. Namkubali sana.

Ubunge aliukosa kutoka na upepo wa 2015. Nikatarajia uwaziri hakosi kupitia ubunge wa kuteuliwa ila sia haba ukuu wa Mkoa akapata. Huyu angefaa zaidi kuliko watu Kama Simbachawene, Ummi, Wambura na wengine.
 
Miradi yoote aliotembelea week 2 hizi ameikuta....ni awamu 4....yeye hana jipya na pia hana makusanyo kabisa ya kufanya hizo fujo ujenzi barabara
 
Back
Top Bottom