Haa ha na siyasomi .. shushenI nitayafanyia kazi .. sasa ataonaje hizo kero jaman?
Kama baba anavyofanyaHalafu anawaambia watendaji wakasikilize kero za wananchi. Je haoni huko kero zitakuwa ni zile watendaji wanazopenda kuzisikia tu?
Anajua yupo hivyo ila tulikomaaNimemwangalia mama Janeth wakati Mzee anasema "katandike kwenye kitanda cha mkeo" sura yake imenipa picha tofauti kabisa!
Juzi Kigoma alivutiwa na mabango huku yakamkeraaaaa yaani mtampenda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha u0we mchocheziiNaona Mkuu wa Mkoa Aggrey Mwanri imembidi kuinuka kwenda kuweka mambo sawa. Maana yeye kama mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama walitakiwa kujua uwepo wa jambo lolote lenye lengo la kumkera Mkubwa. Nakumbuka May Mosi kule Kilimanjaro mabango mengi ilibidi yakamatwe na vyombo vya ulinzi ili yasiingie uwanjani lakini mtaani yalipita. Siku chache baadae Mkuu Mkoa Meck Sadik anaamua kupumzika ili kuwapisha vijana wenye nguvu zaidi. Ndio wakaja vijana wakina Anna Mghwira kuchukua nafasi