nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,988
- 5,649
My foot ushupavu upo wapi, akiona bango anaanza kulia Lia??? Sasa akimuona lissu live si atakimbia mpaka avunjikevunjike???Na kiongozi shupavu haogopi lawama!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
My foot ushupavu upo wapi, akiona bango anaanza kulia Lia??? Sasa akimuona lissu live si atakimbia mpaka avunjikevunjike???Na kiongozi shupavu haogopi lawama!
Kumbe halali nae kitanda kimoja'Hayo mabango nitayachukua nikaweke chini ya godoro analolalia mke wangu 'by JPM tar. 24.07.2017 Tabora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama wa watu
Hivi unataka kusema RAISI wetu JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI si Shupavu Come on!!!!!!!!!!!!!!!My foot ushupavu upo wapi, akiona bango anaanza kulia Lia??? Sasa akimuona lissu live si atakimbia mpaka avunjikevunjike???
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Tumefika hapoKigoma kuna mtu alilala sero 24Hrs kisa bango! Unalijua Hilo????
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Muwekee bango hili "nyumba za serikali ulizouza pia ni ufisadi" mbele yake uone atakavyotoa povuuu!Hivi unataka kusema RAISI wetu JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI si Shupavu Come on!!!!!!!!!!!!!!!
Yaani hata my wife wake anamshangaa![]()