Wabaya wa Lowassa wazidi kuumbuka

Wabaya wa Lowassa wazidi kuumbuka

Jolebatawi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
549
Reaction score
230
Wadau Dr Harrison Mwakyembe aliyeongoza mashambulizi kwenye sakata la Richmond lililomchachafya Lowasa naye ameumbuka,Kuumbuka kwake ni kutokana na kubeba msimamo wa chama chake wa serikali 2 na kupuuza maoni ya wananchi tuliyoyatoa na zaidi ya yote kuyaasi maandishi yake kwenye Thesis yake yanayoelezea msimamo wa serikali 3 ndiyo jibu la matatizo yote.SWALI LANGU NI JE,Nani ni mnafiki zaidi kati ya FISADI WA KALAMU (MWAKYEMBE) NA FISADI WA FEDHA(LOWASA)? Note:Ikumbukwe kwenye suala la ufisadi ndani ya CCM hakuna mwenye uthubutu wa kumnyooshea mwingine kidole!MWAKYEMBE TUNAHITAJI MAJIBU YAKO,AU ULIKUWA HUKIJUI ULICHOKUWA UNAKIANDIKA KWENYE THESIS YAKO? Huku mtihani wa kipimo cha unafiki wa SITTA utatokana na jinsi atakavyoliendesha bunge la katiba hadi mwisho wa mchakato!
 
Ndugu with time mambo yanabadilika. Ule wimbo wa maji yanatiririka toka juu miliman pale Moro leo tena akiimba hawez sifia maji ila ukame juu ya milima uluguru. Basi la shilingi elfu thelathin mwaka 1964 leo ni milion mia tatu unusu ss usije twambia procurement officer anatuibia kumbe with time mambo hubadilika kwa kasi sanaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Hivi unawelewa kuwa misimamo hubadillika?

"Ni kweli,mwakyembe baada ya kupewa uwaziri misimamo yake ikabadilika,Shivji baada ya kwenda kwenye kongamano la vijana Dar lililoandaliwa na wizara ya habari,utamadun na michezo pia misimamo yake ikabadilika" ONLY IN TANZANIA
 
msimamo huwa unabadilika ndio maana TL kasema aliyezoea kuishi kwa uongo ukweli hauwezi,
na aliyezoe vya kungonga vya kuchinja hawezi.
dr mwakyembe alisema ukweli ule ili atimize malengo yake na yapotimia akarudi kwenye hulka yake ya uongo!
ccm oyee
 
Hivi unawelewa kuwa misimamo hubadillika?
Mkuu usisahau kuwa maandishi hayabadiliki kibaya zaidi ni nukuu kutoka kwenye thesisi yake iliyompatia Phd,kama anakana
maandishi yake hata hiyo Phd huenda aliandikiwa
 
Mwakyembe sanaa mingi the same to MAKUFULI

Edward Lowassa ndio mpango mzima,wengine wote ni makanja kanja tukianzia na babu yetu Sitta ni mnafiki ,Mwakiembe ndio huyo tena anakana maandishi yake,Magufuli anabebwa na magazeti ya mzee mengi
 
Edward Lowassa ndio mpango mzima,wengine wote ni makanja kanja tukianzia na babu yetu Sitta ni mnafiki ,Mwakiembe ndio huyo tena anakana maandishi yake,Magufuli anabebwa na magazeti ya mzee mengi

"Nilikuwa namchukia sana Lowasa baada ya sakata la Richmond,Lakini wale waliojipambanua kwamba ndio wazalendo wa nchi hii kutokea CCM nao kwa sasa wanatia mashaka makubwa,hapa nawazungumzia akina MWAKYEMBE,SITTA,ANNA KILANGO,OLE SENDEKA (jinsi anavyoboa sana kwenye bunge hili)
 
Lowassa bado na anaendelea kukubuhu kwa ulafi,tamaa ya utajirisho, wizi na visasi. HAFAI hata kuwa DC kwa mahitajio ya wakati huuu na ujao.
 
Kupata watu wenye misimao ya kudumu hapa Africa ni vigumu, kuna wachache kama Mandella na Che Guevara ambao walikuwa tayari kutoa uhai wao ili wasimamie ukweli, someni hapa muelimike:

"During my lifetime I have dedicated myself to this struggle of the African people. I have fought against white domination, and I have fought against black domination. I have cherished the ideal of a democratic and free society in which all persons live together in harmony and with equal opportunities. It is an ideal which I hope to live for and to achieve. But if needs be, it is an ideal for which I am prepared to die". - Nelson Mandela - April 20, 1964

"The revolution is not an apple that falls when it is ripe. You have to make it fall. We cannot be sure of having something to live for unless we are willing to die for it". - Ernesto Che Guevara, 1967.
 
ndugu with time mambo yanabadilika. Ule wimbo wa maji yanatiririka toka juu miliman pale moro leo tena akiimba hawez sifia maji ila ukame juu ya milima uluguru. Basi la shilingi elfu thelathin mwaka 1964 leo ni milion mia tatu unusu ss usije twambia procurement officer anatuibia kumbe with time mambo hubadilika kwa kasi sanaaaaaaa

sent from my blackberry 9360 using jamiiforums

agwe mwana mdodo,
habari yako karibu kwenye jukwaa hili kwaajili ya ukombozi wa pili kwa tanzania yetu.
 
Kupata watu wenye misimao ya kudumu hapa Africa ni vigumu, kuna wachache kama Mandella ambao walikuwa Tayari kutoa uhai wao ili wasimamie ukweli, someni hapa muelimike:

"Nimekubali mkuu,nimeamini waafrika leo hii hatuna watetezi,watu wamebaki wanaishi kwa ujanjaujanja wa fuata upepo na si kwa critical issues"
 
PhD nyingi za Bongo ni FEKI.

Msiamini kwamba waliandika wao baada ya utafiti..

Thesisi na Disertation wanaandikiwa kwahiyo wenyewe wanapresent tu...wala hawajui yaliyomo...na wala mawazo siyo yao.
 
Back
Top Bottom