kivava
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 5,772
- 4,930
Hivi unawelewa kuwa misimamo hubadillika?
With all due respect sio kwenye suala la msingi kama hili. Mwakyembe ni mnafiki mchumia tumbo
Hivi unawelewa kuwa misimamo hubadillika?
Na yeye ni mwanadamu hawezi kuwa mkamilifu kwa kila nyambo
PhD nyingi za Bongo ni FEKI.
Msiamini kwamba waliandika wao baada ya utafiti..
Thesisi na Disertation wanaandikiwa kwahiyo wenyewe wanapresent tu...wala hawajui yaliyomo...na wala mawazo siyo yao.
Wadau Dr Harrison Mwakyembe aliyeongoza mashambulizi kwenye sakata la Richmond lililomchachafya Lowasa naye ameumbuka,Kuumbuka kwake ni kutokana na kubeba msimamo wa chama chake wa serikali 2 na kupuuza maoni ya wananchi tuliyoyatoa na zaidi ya yote kuyaasi maandishi yake kwenye Thesis yake yanayoelezea msimamo wa serikali 3 ndiyo jibu la matatizo yote.SWALI LANGU NI JE,Nani ni mnafiki zaidi kati ya FISADI WA KALAMU (MWAKYEMBE) NA FISADI WA FEDHA(LOWASA)? Note:Ikumbukwe kwenye suala la ufisadi ndani ya CCM hakuna mwenye uthubutu wa kumnyooshea mwingine kidole!MWAKYEMBE TUNAHITAJI MAJIBU YAKO,AU ULIKUWA HUKIJUI ULICHOKUWA UNAKIANDIKA KWENYE THESIS YAKO? Huku mtihani wa kipimo cha unafiki wa SITTA utatokana na jinsi atakavyoliendesha bunge la katiba hadi mwisho wa mchakato!
wacha uwongo!! PhD ya ujerumani ile sio ya Bongo au ya Online. linganisha quotation ya Kigwangala na Tundu Lisu - mmoja wapo atakuwa mwongo kama alivyotaka kulivuruga Bunge wakati mwongozo ulikuwa very premature.
ni kweli Mkuu!; hata yuda alimsaliti Yesu. Mwisho wake tumbo lililo mponza likapasuka!Hivi unawelewa kuwa misimamo hubadillika?
Hivi unawelewa kuwa misimamo hubadillika?
Naelewa.....vipi CCM wanaolazimisha serikali mbili wao hawaelewi?Hivi unawelewa kuwa misimamo hubadillika?
Thesis zingine huwa ni za kutafutia degree tu...Wakati anaandika thesis yake alikuwa anatafuta ukweli ili nchi ifaidike na utafiti wake. Sasa hivi anaficha ukweli ili chama chake kifaidike na unafiki wake. Msimamo wa kisomi na kitafiti hauwezi kubadilika bila ya kuwa na utafiti mwingine wa kuonyesha yaliyoandikwa mwanzoni yalikuwa na walakini.
"Ni kweli,mwakyembe baada ya kupewa uwaziri misimamo yake ikabadilika,Shivji baada ya kwenda kwenye kongamano la vijana Dar lililoandaliwa na wizara ya habari,utamadun na michezo pia misimamo yake ikabadilika" ONLY IN TANZANIA