Wabaya wa Lowassa wazidi kuumbuka

Wabaya wa Lowassa wazidi kuumbuka

wakati mwingine jitahidi ufiche ujinga wako,ila tambuwa huwez mchafuwa lowassa kwa chuki zako za kupandikizwa
Lowassa kuwa na hela naona inakukera sna,ila ulipaswa kuwalaumu wazaz wako kipindi lowassa anatafuta hela wao walikuwa wakicheza mchezo wa kujificha
Wewe endelea kusifia ma.vi kuwa yanatoa manukato(perfume)

mnazidi kuwa vichaa..nilidhani ungeleta wachafu wa richmond na el hayupo..kumbe mnafrahi kuongezeka wachafu...
 
Ents!
CCM ni kama ukoo wa panya..............................wote ni rodents!hakuna EL wala Sam Six wala John Pombe Kilango wala dhaifu JK ,......................wote wameoza ila wanatofautiana % za uozo
 
nakosa imani na mwakyembe ,hivi kweli unashindwa kusimamia maneno yko uliyoyaandika.....bac hata ile report yko ya richmond ilikuwa mipango ya kumuhujumu lowassa.
 
CCM hakuna msafi, hivi umesha wahi ona kiumbe safi kipo kwenye shimo la choo
 
Wadau Dr Harrison Mwakyembe aliyeongoza mashambulizi kwenye sakata la Richmond lililomchachafya Lowasa naye ameumbuka,Kuumbuka kwake ni kutokana na kubeba msimamo wa chama chake wa serikali 2 na kupuuza maoni ya wananchi tuliyoyatoa na zaidi ya yote kuyaasi maandishi yake kwenye Thesis yake yanayoelezea msimamo wa serikali 3 ndiyo jibu la matatizo yote.SWALI LANGU NI JE,Nani ni mnafiki zaidi kati ya FISADI WA KALAMU (MWAKYEMBE) NA FISADI WA FEDHA(LOWASA)? Note:Ikumbukwe kwenye suala la ufisadi ndani ya CCM hakuna mwenye uthubutu wa kumnyooshea mwingine kidole!MWAKYEMBE TUNAHITAJI MAJIBU YAKO,AU ULIKUWA HUKIJUI ULICHOKUWA UNAKIANDIKA KWENYE THESIS YAKO? Huku mtihani wa kipimo cha unafiki wa SITTA utatokana na jinsi atakavyoliendesha bunge la katiba hadi mwisho wa mchakato!

Duh! Unajua kweli kutafutia wakubwa. Mwakyembe naye kaumbuka kumbe kwa kutofautiana na thesis yake tu?! Nina hakika FISADI wa pesa amekulipa unono ili akili yako imkuite Mwakyembe na hatia ya kuumbuka!
 
Mkuu sasa mwenye Phd halisi hapa bongo ni nani haswa kwa maana nimeanza kuogopa kama tuliekuwa tunaamini kuwa ni jembe Mwakiembe kumbe nae ni yumo kwenye kundi la wenye Phd za kutiliwa shaka

Mkuu.
Ukiangalia CV ya Mwakyembe dizaini Elimu yake ni ya kuunga unga hivi.
The same na Dr Francis.
My take.
Watu wanaounga unga Elimu mara nyinhi sana wanakuwaga kama hawa.
Few to mention, mtazame Dr Pindi Chana, Dr Emmanuel Nchimbi.
Nadhan utakuwa umenisoma
 
Kumbe hizi Thesis za ku-copy and paste thesis ya mtu mwingine ili upate marks bila ya kujua unachokiandika ilianzia zamani!
 
Wadau Dr Harrison Mwakyembe aliyeongoza mashambulizi kwenye sakata la Richmond lililomchachafya Lowasa naye ameumbuka,Kuumbuka kwake ni kutokana na kubeba msimamo wa chama chake wa serikali 2 na kupuuza maoni ya wananchi tuliyoyatoa na zaidi ya yote kuyaasi maandishi yake kwenye Thesis yake yanayoelezea msimamo wa serikali 3 ndiyo jibu la matatizo yote.SWALI LANGU NI JE,Nani ni mnafiki zaidi kati ya FISADI WA KALAMU (MWAKYEMBE) NA FISADI WA FEDHA(LOWASA)? Note:Ikumbukwe kwenye suala la ufisadi ndani ya CCM hakuna mwenye uthubutu wa kumnyooshea mwingine kidole!MWAKYEMBE TUNAHITAJI MAJIBU YAKO,AU ULIKUWA HUKIJUI ULICHOKUWA UNAKIANDIKA KWENYE THESIS YAKO? Huku mtihani wa kipimo cha unafiki wa SITTA utatokana na jinsi atakavyoliendesha bunge la katiba hadi mwisho wa mchakato!

Zamani wadudu wanaosababisha Malaria walikuwa ni wa aina 4, LAKINI kwa sasa wapo aina 5. Je wale Maprofessor walioandika kuwa kuna 4 Plasmodium species miaka ya nyuma tuwanyang'anye U-professeri wao? Science/Knowledge is dynamic and not Static.
 
Tuwatendee haki hayo MAJEMBE MAWILI hapo juu jamani. labda uwe na sababu au chuku zako binafsi na hawa waheshimiwa.
Haha...KM warioba alivyoongea na kumfanya JK aonekane km kituko,ndivyo Lissu alipoongea akageuza akina mwakyembe kuwa waandika Riwaya....hao jamaa huenda na upepo.
 
Zamani wadudu wanaosababisha Malaria walikuwa ni wa aina 4, LAKINI kwa sasa wapo aina 5. Je wale Maprofessor walioandika kuwa kuna 4 Plasmodium species miaka ya nyuma tuwanyang'anye U-professeri wao? Science/Knowledge is dynamic and not Static.
Sasa mbona umetoa mfanoa mbao dynamism upo kwa wadudu..na si kwa sayansi..dynamism ya sayansi ipo ktk kugundua vitu vipya..na mabadiliko yanakuwa ktk theories tuu ila si ktk law..law inaishia ku apply pale conditions zake zinabadilika ..na hivyo kutoondoka ukweli wake..ila applicationa yake..yaani hakuna negation.Ndio maana Newtons laws of physics hazijatenguliwa ila kna sehemu haziaapply kwa vile conditions zake zinakuwa nyingine....Mwakyembe anachofanya ni NEGATION YA thesis yake na Princiapls zake ambazo alizipigania,na alizitumia kupata kitu ambacho kipo ktk maisha yake..sasa km kagundua alichoamini ni uongo, then ni wazi doctorate yake iliyopaticana kwa hilo alipaswa rudisha.Akina marion Jones walipata medal haramu kwa kutumia madawa, ila baada ya miaka walirudisha....Bingw amteteiz naye akijitoa ktk unachama ..wa chama cha mpira basi kombe analolishikilia nalo huondoka, ......
 
Back
Top Bottom