Wabaya wa Lowassa wazidi kuumbuka

Wabaya wa Lowassa wazidi kuumbuka

Kimsingi misimamo kama ya akina sita na dkt.mwakyembe kuyumba kwake kunatokana na unafiki wao na si kutokea kwa hali halisi ilyopo ktk jamii ccm haija wahi kuwa na kiongozi makini wote wanafiki uacha mwl.baba wa taifa.mtoa hoja ccm haina mtu ila majtu
 
Kimsingi misimamo kama ya akina sita na dkt.mwakyembe kuyumba kwake kunatokana na unafiki wao na si kutokea kwa hali halisi ilyopo ktk jamii ccm haija wahi kuwa na kiongozi makini wote wanafiki uacha mwl.baba wa taifa.mtoa hoja ccm haina mtu ila majtu

"Haswa na ndicho ninachomaanisha ndani ya hiki chama wote wamebakia kuwa wahaini,Leo Pinda alikuwa anaongea kwa hofu kubwa na kutetemeka na kujitetea kwingi akidhani bado wanauwezo wa kurudisha imani kwa wananchi,IMANI KWA WANANCHI ITARUDI KAMA TU WATATUTENGENEZEA KATIBA KAMA TULIVYOMKABIDHI WARIOBA MAONI YETU NA SI KUJA NA KATIBA YENYE MAONI TOKA KUZIMU!"
 
Edward Lowassa ndio mpango mzima,wengine wote ni makanja kanja tukianzia na babu yetu Sitta ni mnafiki ,Mwakiembe ndio huyo tena anakana maandishi yake,Magufuli anabebwa na magazeti ya mzee mengi

Hivi EL keshatoka ccm? Nini msimamo wake juu ya KURA mjengoni katika mchakato huu wa Katiba?, na MUUNGANO wa serikali ngapi yeye anataka? Nitakuwa wa mwisho kuwa upande wake.
 
asante mkuu JOLEBATAWI kwa kunifumbua macho, kumbe LOWASA ni fisadi wa fedha! me nilikuwa sijuwi! uzi wako utawasaidia wengi ambao walidhan ni msafi hata kustahili kupewa tena ubunge wa ENGARUKA! lakini uwe makini maana akisikia unavyoongea ukweli juu yake kuwa ni fisadi wa fedha za wananchi atakung'oa kucha!
 
Wadau Dr Harrison Mwakyembe aliyeongoza mashambulizi kwenye sakata la Richmond lililomchachafya Lowasa naye ameumbuka,Kuumbuka kwake ni kutokana na kubeba msimamo wa chama chake wa serikali 2 na kupuuza maoni ya wananchi tuliyoyatoa na zaidi ya yote kuyaasi maandishi yake kwenye Thesis yake yanayoelezea msimamo wa serikali 3 ndiyo jibu la matatizo yote.SWALI LANGU NI JE,Nani ni mnafiki zaidi kati ya FISADI WA KALAMU (MWAKYEMBE) NA FISADI WA FEDHA(LOWASA)? Note:Ikumbukwe kwenye suala la ufisadi ndani ya CCM hakuna mwenye uthubutu wa kumnyooshea mwingine kidole!MWAKYEMBE TUNAHITAJI MAJIBU YAKO,AU ULIKUWA HUKIJUI ULICHOKUWA UNAKIANDIKA KWENYE THESIS YAKO? Huku mtihani wa kipimo cha unafiki wa SITTA utatokana na jinsi atakavyoliendesha bunge la katiba hadi mwisho wa mchakato!

Nimeshindwa kupata correlation katika uzi huu. Hivi unaweza kulinganisha kuiba mamilioni ya wananchi kifisadi na mtu kubadirika katika msimamo ambao inajulikana ni kwa sababu gani. Hivi mtu hana uhakika kama amepona katika ile sumu alafu aongezwe kuandamwa kwa kupinga msimamo wa maccm? Edward Lowassa ni mwizi, Fisadi muuaji kabisa wala hapa hakuna cha wabaya wake kuumbuka. KamaMwakyembe angekuwa ameiba hapo ningekupa dole. Kumsafisha EL kwenye UFISADI ni sawa na kutetea serikali mbili bila kutoa pointi za msingi eti tunawaenzi walioasisi Muungano.Eeeh Toba, mbona hatuwaenzi kwa uadilifu sasa.
 
Hivi unawelewa kuwa misimamo hubadillika?

Uandike thesis ya phd inayotokana na takwimu za sheria na nyaraka mbalimbali halafu leo msimamo ubadilike huku takwimu na nyaraka zikiwa bado ni zile zile utakuwa unatania au uliandikiwa au hujui ulichokuwa unafanya au umeamua kusaliti unachokiamini kwa sababu ya njaa
 
Back
Top Bottom