EL hakuna mfano wakuu. Huyu ni mtu wa watu
Kwanini Lowassa ameingizwa hapa? kuna agenda gani na Lowassa? tufikirie kwa mapana jamani,
Huku kwenye JF kuna mtu alishawahi kuni PM akaniambia mimi nazubaa huku wakati watu wanachangamkia mahela kwa Lowassa...Nilimtolea uvivu palepale kuwa Lowassa hawezi kununua utu wangu.
Kwa hiyo jamani tuwe makini na watu wanaotaka kumsafisha Lowassa kwa kutumia njia mbalimbali huku. Lowassa akitubu kwa Mungu na kuwaomba Watanzania Masamaha halafu akurudisha mali zote kwa watanzania alizozipora kwa njia haramu mbona atasafishika lakini siyo kwa ujanjaujanja anaoutumia
agwe mwana mdodo,
habari yako karibu kwenye jukwaa hili kwaajili ya ukombozi wa pili kwa tanzania yetu.
Mkuu usisahau kuwa maandishi hayabadiliki kibaya zaidi ni nukuu kutoka kwenye thesisi yake iliyompatia Phd,kama anakana
maandishi yake hata hiyo Phd huenda aliandikiwa
Hivi unawelewa kuwa misimamo hubadillika?
Mkuu usisahau kuwa maandishi hayabadiliki kibaya zaidi ni nukuu kutoka kwenye thesisi yake iliyompatia Phd,kama anakana
maandishi yake hata hiyo Phd huenda aliandikiwa
EL hakuna mfano wakuu. Huyu ni mtu wa watu
MANTIKI HAPA NI NINI? KUMSAFISHA MAMVI? Pengine mwishowe mtafanikiwa
Wabaya wa Lowasa kwa sababu walisema ukweli ama? Kama wao wana matatizo hiyo siyo nyenzo ya kusema walikosea kumkosoa EL. The guy is a thief period. Mengine haya ni maloloso tu. Kama asingekuwa mwizi asingejiuzulu.
Suala la serikali tatu, kwa Mh Mwakyembe halikuwa suala la "msimamo"....kutokana na utafiti wake....it was the only "logical" solution! Labda atuambie hiyo logic imeishia wapi!
Hata hivyo, sitamlaumu sana Mh Mwakyembe, analinda kitumbua chake! Nikitizama CCM inavyoisema tume na namna wanavyo wa treat kina Warioba.....inahitaji ujasiri mkubwa kuwa ndani ya CCM na kwenda kinyume na wanavyotaka hata kama mantiki inakataa. Je, Mh Mwakyembe anaujasiri gani? Hata Shivji ambae tulidhani hafungamani na chama cha sasa lakini nae anayakana maandishi yake! Nimejikuta natafakari sana usemi wa Mh Lema..... "dhambi kubwa kuliko zote ni uoga"!
MANTIKI HAPA NI NINI? KUMSAFISHA MAMVI? Pengine mwishowe mtafanikiwa
Mtachonga sana wanafiki. mtachonga sana mnaotumwa na Lowassa...mwisho ukweli utajulikana,najua mnaweweseka sababu Chadema imebaki maiti.
utter stupidity! thesis ya doctorate yake inahusiana nini na Dr kama Waziri na msimamo wa serikali na chama chake..kingine hii connection ya lowassa, katiba mpya, serikali 3 na mwakyembe umeshindwa kuijenga, eti fisadi wa kalamu..Fisadi kwaambie maboss wako atabaki kua yule wa pesa kwa sababu economc crimes zinadidimiza uchumi na kuathiri siasa, uongozi, na maendeleo ya jamii kwa ujumla...wapuuzi kama nyie mko wengi sana na jamii mara nyingi uongozwa na mpuuzi mkuu
Well said Mkuu.
No wonder hata hakujua aliyemuandikia thesis aligusia hilo.
Thats why jana akawa ana note ili akahakikishe kama kuna kitu kama hicho kwenye thesis yake