wababa mliomo JF acheni kubania vitu katika familia,vingine ni vitu vya kawaida tu

ya kuwaachia tv watoto,mkuu unawabania watoto tv,wkat ni kawaida,mimi nikipata watoto nawapa ipad wakifikisha miaka 3 na kuendelea
Na kweli ni kawaida. Unadhani ni kwa nini TV za kisasa zinawekwa password? Kwa nini DStv wana option ya kuweka password (parental control) kwenye program?
 
Na kweli ni kawaida. Unadhani ni kwa nini TV za kisasa zinawekwa password? Kwa nini DStv wana option ya kuweka password (parental control) kwenye program?

password ni kuwabania kwa baaz ya channel or program,siyo kuwabania kuacha kabisa kulipa dstv,usiwabanie kabisa waone tv kwa jiran wakat unayo
 
password ni kuwabania kwa baaz ya channel or program,siyo kuwabania kuacha kabisa kulipa dstv,usiwabanie kabisa waone tv kwa jiran wakat unayo
Kwa nini uingine gharama kubwa(ya DStv) halafu uwazuie kuangalia tena? Anyway, katika hili kila mtu ana nyumba yake na namna anavyotaka kulea watoto wake. Nikisema nichukue model yako ya malezi niilete kwenye nyumba yangu inaweza isiwe effective, likewise si lazima wewe uchukue/uige model yangu ya malezi maana inaweza isiwe effective kwako hasa ukizingatia tuna malengo tofauti juu ya familia zetu.
 
Ha ha ha duh umenikumbusha mshua boy alikuwa anafungia deki ndani kwake as hakuna kuangalia mikanda ovyo ovyo hadi wekend tu,, eti watu hawatosoma.. Miaka ya 2000's akafunga dstv eti dikoda akawa anaifungia kwenye kabati kisha remote anaificha chumbani as hakuna kubadilisha stesheni hadi apende na anaacha BBC au CNN... Kumbe wajanja tulikuwa tunaazima remote kwa jirani tunabadili programe tunavyotaka as kabati lina kioo.. Akirudi anakuta BBC yake kama kawa kumbe mchana tumefaudu ma MTV mpaka basi
 
kila mtu ana zamani yake mwenyewe......zamani ya nzi ni jana,,,,zamani ya kobe ni miaka 100,zamani yangu na yako labda tofauti.....

sawa niamkie basi..halafu kuna member mmoja alimwomba chief mod aweke jukwaa la cartoon network humu jamvini litawafaa baadhi ya watu...lol
 
enzi zetu.....TV inakaa chumbani kwa baba mpaka arudi ndo muombe itolewe,tena mnaangalia kipindi cha katuni kimoja alafu basi inarudishwa na stendi yake ya matairi,glassi zingine marufuku kugusa mpaka mgeni aje,album za picha kedekede kwenye kabati,ila bonge la ufunguo,watoto wanazionaga tu,ila ni marufuku kugusa....vitambaa vya sebuleni sasa wakati wa kuangalia Tiivii,ole wako upangarue,utakiona cha moto,kuondoa ugomvi bora tu ukae chini,kula kwenye kochi ni marufuku,ila baba anaruhusiwa.....baada ya kuangalia VIDEO mnaifunika VIDEO vizuuurrii,isiingie vumbi na vile vitambaa vya kufuma....na baba ndo anakaa na remote control,imefunikwa na ma-nylon kibao ili isizeeke.....akija mgeni nyumbani anafundishwa jinsi ya kuwasha na kuzima Tivii na namna ya kuweka mkanda asije akaugeuza.......kipindi hicho kuwa fundi TV ni bonge la ishu,unakuta fundi ana magari,,,,ni enzi hizzooo,katika utoto wangu,nilishuhudia hayo
Ahahahahaaaaaa, inaonekana umepitia pagumu sana snochet!


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
sawa niamkie basi..halafu kuna member mmoja alimwomba chief mod aweke jukwaa la cartoon network humu jamvini litawafaa baadhi ya watu...lol
za asubuhi...ila kweli mods waweke hilo jukwaa,sio zamani tu,hadi leo napenda sana cartoons.
 
hii ni sahihi kwa upande mwingine kwani hakuna la maana la kuangalia humo zaidi ya kuwalemaza watoto akili wanakuwa vilaza wanachojua ni bongo movie,muziki wa kizazi kipya.
 
hii ni sahihi kwa upande mwingine kwani hakuna la maana la kuangalia humo zaidi ya kuwalemaza watoto akili wanakuwa vilaza wanachojua ni bongo movie,muziki wa kizazi kipya.

nimekugusa asswa
 
Vibaka wengi nowdays mkulu.. Hakuna polisi, hakuna serikali, hakuna rais, lazima Mtu uchunge chako kivyako..
 
Elesante aliwahi kunambiaga Yeye Redio yake ya Picha ni kitu anachokipenda upeo, hapatipicha wanungulu wakikwiba hiyo presha yake itavyompanda..

Tokea ameweka fensi la chuma, analala Na kukoroma muruaaa.. Gudi egizampo.. Naunga Mkono ubunifu
 
Wote mnaoona ukauzu hamna familia.....tv internet ndio zinazoongoza kuharibu maadili kwa watoto.....kama mzazi binti yangu Lisa kamwe namchagulia vipindi vyA KUANGALIA na kamwe siwezi kumuachia remote aaanze kuchokoaa mwenyewe chanel anayoitaka...nimemjengea taratibu kabisa na yeye hana kiherehere na tv......

ndio maana siku hizi unakuta vitoto vya 3yrs vinakulana denda kwa kuiga kwenye tv.....niliona katoto kamoja kanacheza kama rihana kanabinua binua ****** yake..mwingine anacheza huku akishikilia nyeti yake.....wengine tunasikia wanatomasana nyeti na matiti hadharani.....
 
Kuna mwana JF mmoja hutembea na funguo za vyooo vyote vya nyumba yake.
Hamna kwenda kujisaidia hadi awepo, eti anaogopa watajaza choo
 
Back
Top Bottom