wababa mliomo JF acheni kubania vitu katika familia,vingine ni vitu vya kawaida tu

Mitoto mingine ukiachia TV utakuta imeacha kusoma inashindia TV ukinyemelea saa mbaya utaikuta imenyamaza kimya kama hakuna watu!.........inaangalia mikanda ya ngono.....!

hio bado siyo sababu ya kuwabania,unaweza wanunulia mikanda mizuri kulingana na umri wao
 
Back
Top Bottom