Waarabu wana nguvu Iringa


nimewataja wenye hotels coz hzo ni biashara kubwa na sio zakuonekana kwa watu kuwa unabiashara flani.. I mean co kama magari, mana waweza kuwa na gari za usafirishaj 4 tu ila ukaitwa tajiri bila kujua gharama ya hzo gari zako nne hazijengi hotel hata moja ikaisha. Kuhusu kitongo mkubwa pale mwenyewe alifarik na ndio maana unaona panasua na pia ndugu waliopo wamebinafsisha kwa mtu.
 
ndo maana hata mbunge wao ni mkinga, hawa jamaa walikuwa wanawadharau wakinga miaka ya nyuma lakini siku hizi wamegeuka ndo walinzi wa maduka ya wakinga. Wanajiita TULIVAGAYASIDA maana yake hawana shida.

uwe na uhakika na unachokiandika nani aliekwambia msigwa ni mkinga? Au unadhan kila msigwa ni mkinga? Kuna cku mkeo atatoka na surual utahc ni mwanaume eti kisa kavaa surual. Msigwa nimuwanji
 

Well said sina cha kuongeza Rose, huyu jamaa anaonekana ni mshamba tu. Na si ajabu ni mara yake ya kwanza kutoka nje ya mkoa wake. Kama ulivyosema, anaonekana ni bishoo fulani mwenye dharau sana kwa watu wenye hali duni, lakini kwa bahati mbaya hana uwezo mkubwa wa kuchambua mambo. Hakuna mkoa nilioenda nisione au nisisikie habari za watu maarufu ambao wakipita mahali wanaibua mjadala. Sasa yeye anachoshangaa hili kutokea Iringa ni nini? Ametukosea adabu kabisa wanaIringa huyu bwana mdogo.
 
Matajiri wote wa kihehe kama Chalamila,Masasi,Ngole na nk.
Hawapo tena wakinga,wahindi wakiongozwa na waarabu wamechukua mji.
Ccm iringa inaongozwa na asas Abri.Watoto wake wananyathifa kubwa Ccm hapo Iringa.
Kuna fununu kwamba jamaa kao kwa Abri.

mkubwa acha kuwa na upeo finyu kila mkoa au mji unamatajir wa zamani hakuna mkoa au mji uliokosa matajir wakizamani mkubwa na ndio mana ht kariakoo kuna maghorofa yakizaman na yanapotea kila cku ukiulza wamiliki wako wapi utajibiwa walifarik na familia zao zilfilicka. Utajir ni km uhai unazali, unakua, unadevelop then unakuja kupotea hata km ni kwakizaz cha 50 kwenda mbele.. Ila kila chenye startn point bas ujue kinakua na sehem kuu 3. Startn point, middle point na end point.
 
.....we nenda kapige mdudu kwa mama Siovelwa au nenda Miami utapata mbuzi, supu, kila kitu! Na kambwa kidogo!

Bila kusahau Mateka Bar opposite na Ukumbi wa Halmashauri ''siasa ni kilimo''
 
Al jazeera[/QUOTE]
Bila kumsahau IVORI.
 
kwanza ndugu mtoa mada hujaenda ndani katika masuala ya watu wa iringa.waarabu wa kwanza iringa ni wazee wa asas na fm abri.wote hawa kabila moja na ndugu wa karibu sana.nilisoma na mtoto wa asas na fm o level.waliniambia wazeze wao walikuja toka uarabuni maskini saana.wakaanza maisha isimani na sahv ni moja wa matajiri iringa na southern tanzania.wahehe si watu wabiashara saana lkn huvutwa nyuma na ulanzi na ulevi mwingine.mfano mi nipo hapa gangilonga kuna baa 13 kubwa,na wakazi wa hapo gangilonga hawazidi 6000
 

Tupo pamoja mhehe mwenzangu
 

baada ya kufariki hakuna ndugu aliyeandaliwa kuendeleza biashara??hilo ndio tatizo kubwa linalotukabili
 
Naipenda iringa nimekaa hapo wilolesi ila kweli nimewaona wengi wenye uchumi mkubwa ni waasia.
 

mbona hukuwauliza walivyotajirika??hawa wameua sana tembo zetu na walitajirishwa na meno ya tembo wakati wahehe wamelala usingizi wa pono
 
Wote mnaotokwa na povu punguzeni hasira,hiyo ndiyo hali halisi ya iringa,wahehe wana hasira sana lakini ina faida kwenu??
 
watani zangu wahehe wamefikia hapo?mmmmh napita tu
 
mbona hukuwauliza walivyotajirika??hawa wameua sana tembo zetu na walitajirishwa na meno ya tembo wakati wahehe wamelala usingizi wa pono
Niliwauliza walitajirika vp,sababu niliyo iona ni kuwa ni wana biashara wazuri wanao panga mipango ya mbele future .simkumbuki majina yote ya yule dogo,alikuwa anaitwa fahd lakn nakumbuka aliniambia kuwa walianza biashara ya usafirishaji mwaka 1940 na gari moja ambalo lilikuwa linaendeshwa na babu yake.na baada ya muda wakaacha duka isimani na kuunza kununua gari zingine.niliwahi kumuuliza idadi akaniambia zina range kwenye 300.sasa kwa muonekano waharaka hawa watu walikuwa wachapakazi.yaani hawakuibuka matajiri tu.bali ndani ya 1940-2004 wamefanikiwa saana.sijuwi sahv wanayo mangap na biashara zingine gani.
 
mkuu hembu tuachie mji wetu, wahehe tupo kimya tu, fanya kilicho kupeleka,moshi kule dada zenu wa kichaga buleee kabisa hawajui kitu,,,,usituletee uchaga kwenye mji wetu
 
mkuu hembu tuachie mji wetu, wahehe tupo kimya tu, fanya kilicho kupeleka,moshi kule dada zenu wa kichaga buleee kabisa hawajui kitu,,,,usituletee uchaga kwenye mji wetu

Hahaha safi saana.kule buleeee
 
lazima wewe ni mmoja wa ile safari ya watu wa bia za serengeti mambo ya maji yaliyowapeleka huko.....



Jamaa atakuwa ni miongoni mwa watu hawa wanafungua miradi ya maji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…