Waarabu wana nguvu Iringa

Nashindwa hata niandike nini kwenye thread ya kijinga kama hii,
Mimi ni mhehe but sioni tofauti kati yangu na kabila lolote lile,, or otherwise niamue tu kujiaminisha kama Mimi ni bora kuliko mwingine..
Nimezaliwa iringa, nimekulia iringa, nimesafiri mikoa mingi ya nchi hii, na nimesafiri nje ya nchi pia, nchi hii bado tuna umaskini wa kutupwa, tukianza kubaguana kihivi hatufiki Mazee,,
Sisi ni watz. Japo tuna makabila ya asili zetu, kila kabila lina tamaduni zake,
Ukiangalia hata huo mnaita utajiri wa huko uchagani na utajiri wa iringa ama mwanza au mbeya, unavyopatikana ni tofauti pia, wengine wanafanya biashara, wengine wanalima, wengine wanaiba serikalini, wengine wanavua samaki, na wengine wanafuga..hivi ndio Mungu ametuumba ili tusaidiane..
Kilimo ndio asili ya watu wa iringa na wala sio biashara za maduka ambazo wengi wanadhani ndio njia pekee ya kupima mafanikio ya MTU,
And besides wahehe wala sio maskini kama mnavyofikiri, tena huenda sio matajiri pia..
Life is so diverse wakuu, huwezi pima mafanikio ya mtu just kwa kuangalia parameter moja, hata ustaarabu na kuheshimu wengine ni sucess pia..pamoja na uvivu wa hao wahehe but they are somewhat hard working.. ndio maana ukiondoa mbeya bas anaelisha mkoa wa dar ni iringa,
Na pia ukitaka kuthibitisha hilo naenda hadi kilolo, mufindi, Mtera, idodi ama pita hata hapo ilula ujifunze zaidi kuhusu wahehe,
Its unfair kumtukana mhehe, mhehe sio mbaguzi, anaishi na kila MTU, anashirikiana na kila MTU, sio mchoyo na ndio maana wengi wanaishi hadi iringa Vijijini huko wamekaribishwa, wamepewa ardhi na wamejenga,
BuT dharau kama hizi ndio binafsi tutaanza kuonana wabaya..
Hizi Tabia mnaleta nimezoea kugombana na wakenya huko, I wonder kuona mtz anapost upuuzi kama huu.
Guys, plz try to reason.. Nchi hii ni yetu wote..


Proudly Tanzanian. Mnyalu pure!!
 
Unaongea ujinga.HUIJUI ARUSHA.Na kama umefika ulikuwa unapita.Tuulize wazawa.Kama hujui kitu bora uulize uambiwe
 
Thank you WAHEHE, MTU ASILETE TENA MADA ZA KIJINGA AKAACHIWA. AFANYE RESEARCH SIO KUKURUPUKA TU. HAIJUI MIKOA, HAYAJUI MAKABILA, ANAWARUKIA WAHEHE. ATAJIFUNZA SIKU ZIJAZO. ATAFIKIRIA VEMA KITU ANACHOPOST. AENDE KOTE LINDI, MTWARA, TANGA, AANGALIE MAKABILA YOTE ... MBENA MHEHE MKINGA MCHAGA MNYAMWEZI MMAKUA MMAKONDE ......... ALETE ANALYSIS HAPA SIO KUUNGAUNGA HAPA!
 
Aise, nimeipenda sana hii reply yako. Atajifunza.
 
huwa nna tabia ya kuheshimu kila MTU na kabila lake.lkn kamwe hua cmtetemekei MTU,ndo nlivo jikuta nko hivo,na sipendi KBS hata kumuona MTU anambabaikia mtu iwe kwa sababu yeyote ile hata rafiki zangu wanajua hivo,ndo tulivo kiasili KBS wahehe
 
Kumbi mwe veve wakutulisa veve napo witya nayuwe twivabagusi nda ukwenyu,bite uwuyage tulekele inyi yetu hee!
 
Mkuu ene wainywa utulaasi bite ukake taa nange lita yimwi ndihomba,ulongye mumwene hyilo
 
Nini maana ya kuabudu?
 
Thibitisha waarabu wanavyofuga hayo majini.kwanini waarab?mbona kuna watu wanapandisha mashetani kwenye nyumba za ibada hawaambiwi wanafuga au wanaishi nayo?
 
Na wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri inawezekana umeandika uzi huu ukiwa mirembe ukipata matibabu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…