Chisamba
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 1,521
- 787
too much confidence and mwisho wa siku unaharibu kabisaSema sometimes ukiwa unafanya mazungumzo na mtu unayemheshimu kupindukia, au role model au unampenda mnoo unapatwa kama na wenge.
Hili nililiona siku ya kwanza Trevor Noah anafanya mahojiano na Obama. Yaani alikuwa anaishia kuchekacheka tu na kutabasamu muda wote, ikabidi Obama awe anaongea tu kama anahutubia.