Waandishi wa Habari mna matatizo gani? Mahojiano ya Salama na Kikwete yamenihuzunisha sana!

Waandishi wa habari wa Tanzania hawana weledi kabisa kabisa.

Nimeangalia mahojiano ya Rais Mstaafu na Salama Jabir kwakweli inasikitisha mno. It is a Golden opportunity wasted.

Mtu unapata nafasi ya kuzungumza na Rais badala ya kuuliza maswali yenye tija na kutufanya watazamaji tujifunze mambo ya msingi ya kitaifa wakati kuna mambo kadhaa ya kupata opinion yake, unaishia kumuuliza Rais eti tofauti ya kuwa babu na baba ni ipi? Au unazungumziaje kifo cha Kobe Bryant. Jamani?

Next time ukiwa na mgeni kama huyu toa taarifa mapema. Ambia watazamaji watume maswali yachuje baki nayo yale muhimu tu, then uliza kama unakosa cha kuuliza.

Mnatukosea Sana waandishi wa habari kutuletea mambo rahisi rahisi tu kujaza ubongo wetu.
Jambo la kwanza ambalo nataka mfahamu,ni kwamba hicho kipindi kina sera zake na kina mwenye kipindi,hivyo huyo salama ni lazima azingatie hayo.Pili unapomhoji mtu mwenye wadhifa kama j.k ni lazima mkubaliane naye rasimu ya maswali,huzuki tu na maswali utakayo
 
Waandishi wa habari wa Tanzania hawana weledi kabisa kabisa.

Nimeangalia mahojiano ya Rais Mstaafu na Salama Jabir kwakweli inasikitisha mno. It is a Golden opportunity wasted.

Mtu unapata nafasi ya kuzungumza na Rais badala ya kuuliza maswali yenye tija na kutufanya watazamaji tujifunze mambo ya msingi ya kitaifa wakati kuna mambo kadhaa ya kupata opinion yake, unaishia kumuuliza Rais eti tofauti ya kuwa babu na baba ni ipi? Au unazungumziaje kifo cha Kobe Bryant. Jamani?

Next time ukiwa na mgeni kama huyu toa taarifa mapema. Ambia watazamaji watume maswali yachuje baki nayo yale muhimu tu, then uliza kama unakosa cha kuuliza.

Mnatukosea Sana waandishi wa habari kutuletea mambo rahisi rahisi tu kujaza ubongo wetu.
Salma Jabir ni msanii tu kama wale wa Bongo Fleva, yaani hana maswali ya maana hata kidogo....utangazaji Tanzania siku hizi hauna umakini hata kidogo.
 
Back
Top Bottom