kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,732
Hata wakienda nani anasoma hayo magazeti, siku hizi yanachapishwa lakini matumizi yake makubwa ni kufungia vitumbua na maandaziUhuru na Daily News wameenda.
Hata wakienda nani anasoma hayo magazeti, siku hizi yanachapishwa lakini matumizi yake makubwa ni kufungia vitumbua na maandaziUhuru na Daily News wameenda.
Nimemsikia Waziri asiye na Wizara Maalum Mark Mwandosya katika Ebony FM akisema vyama vya siasa vinahusika na mauaji, ameelekeza wazi lawama kwa CDM kwamba ni wauaji.
Sijui kwa nini wanaogopa kuwataja Polisi?
TBCCM si watakuwa wameenda ? Poleni ndugu zangu wa mbeya najiulizaga sana kwa nini mnaandamwa nyie tu.
Ktk muendelezo wa msimamo wa waandishi wa habari nchini kugomea kuandika habar zihusuzo polisi na maagents wao umechukua ukurasa mpya baada ya leo waandishi wa habari mkoani iringa walipogemea mwaliko wa kamishina wa makosa ya jinai nchini Robert Manumba (Gamba asilia) ambapo alihitaji kuzungumza nao.
The Struggles aluta continua.
Fear not.
Umeona eeh! mara mwakyembe sumu, mwandosya gonjwa lisilojulikana, yule porofesa mwanani wa chuo kikuuvile.... sababu ya kuuliwa haijajulikana wala waliomuuwa hawajapatikana, Ulimboka dr. Kabomolewa korodani sasa Mwandishi Mwangosi kafanywa nyama ya kusangwa!!! Duuuh!
Kweli Mbeya ni Nchi!
Wanatutafuta, sijui kwa sababu tulimpiga mawe baba yao!? sa ivi atauwawa mtu kule afu tunajitenga tunaungana na mkoa mwenzetu wa dada Joyce Banda au sio Gwankaja Gwakilingo, Yaya Toure, masopakyindi Gwangambo Bujibuji et al
Leo inabidi tukubadili jina, HUMANITY FIRST! Maanake mwanzo nilikuwa hata sitaki kulumbana na wewe kwasababu jina lako limekaa kimaslahi zaidiMkuu mimi ninachopinga ni air of impunity katika jeshi la Polisi.
Kumpiga mwandishi , hadharani, tena akiwa amekumbatia kamera yake,kumpiga hadi kufa kwa lugha rahisi ni kitendo cha kishenzi.
Mtanisamehe kwa hasira yangu wakuu, maana si kawaida yangu.
Lakini watu kama hao Polisi wasipochukuliwa hatua za kisheria ujinga huu utaendelea. Na hapo mtu awe CCM,CHADEMA au CUF, hilo halikubaliki.
Until further notice!Kwa muda gan watagoma????
Nimemsikia Waziri asiye na Wizara Maalum Mark Mwandosya katika Ebony FM akisema vyama vya siasa vinahusika na mauaji, ameelekeza wazi lawama kwa CDM kwamba ni wauaji.
Sijui kwa nini wanaogopa kuwataja Polisi?
Atamchukulia sheria nani wakati alitumwa??? Wale wanapewa amri tu....Mkuu mimi ninachopinga ni air of impunity katika jeshi la Polisi.
Kumpiga mwandishi , hadharani, tena akiwa amekumbatia kamera yake,kumpiga hadi kufa kwa lugha rahisi ni kitendo cha kishenzi.
Mtanisamehe kwa hasira yangu wakuu, maana si kawaida yangu.
Lakini watu kama hao Polisi wasipochukuliwa hatua za kisheria ujinga huu utaendelea. Na hapo mtu awe CCM,CHADEMA au CUF, hilo halikubaliki.
Kwa muda gan watagoma????
Nadhani cha msingi ni kugomea habari za wizara ya mambo ya ndani na jeshi la polisi.
Kuna Mwana mbeya mmoja (sina uhakika lakini pengine anajiita tu) kazi yake ni mc wa maharusi na redio moja ya ngono,music na pombe. wenyewe wanaita redio kiburudisho! tena anasemaga ni wa huko huko Tukuyu! Ukimsikia anavyoshabikia dhulma wanayofanyiwa raia daaah! Huwezi kuamini kama kweli huyu jamaa ni mmbeya kweli au kiraka.
Kwa muda gan watagoma????
naunga mkono hoja kwa 100%.