Waandishi wa habari Iringa wamgomea Robert Manumba!

Nimemsikia Waziri asiye na Wizara Maalum Mark Mwandosya katika Ebony FM akisema vyama vya siasa vinahusika na mauaji, ameelekeza wazi lawama kwa CDM kwamba ni wauaji.
Sijui kwa nini wanaogopa kuwataja Polisi?

Unayosema ni ya kweli? sitaki kuamini kama prof mzima kama yule anaweza kusema uongo.
 
TBCCM si watakuwa wameenda ? Poleni ndugu zangu wa mbeya najiulizaga sana kwa nini mnaandamwa nyie tu.

Kweli, si wawaite TBC, Uhuru, Jambo Leo, Mtanzania, Z'bar Leo, Magazeti ya shigongo mbona ni wengi tu? Shida gani, wao si wanajitia hamnazo! Kutumiwa kubaya sana ona sasa DCI mzima unahaha kutafuta audience ambayo ilipaswa kuwepo bila shida.

Hivi mpaka muda huu hakuna askari waliokamatwa kwa uuaji wa Mwangosi?
 
Ktk muendelezo wa msimamo wa waandishi wa habari nchini kugomea kuandika habar zihusuzo polisi na maagents wao umechukua ukurasa mpya baada ya leo waandishi wa habari mkoani iringa walipogemea mwaliko wa kamishina wa makosa ya jinai nchini Robert Manumba (Gamba asilia) ambapo alihitaji kuzungumza nao.

The Struggles aluta continua.
Fear not.

HAIJATOSHA! Waandishi wote nchini waigomee Polisi na Wizara ya Mambo ya Ndani! Ikiwezekana, Serikali YOTE igomewe! Kwani habari za kuandika ni hizo tu?
 
Hata TBCCCM wakiandika habari za kipolisi watu wengi sasa wamesusia kutazama na kusikiliza TBC1 na TBC
 
Umeona eeh! mara mwakyembe sumu, mwandosya gonjwa lisilojulikana, yule porofesa mwanani wa chuo kikuuvile.... sababu ya kuuliwa haijajulikana wala waliomuuwa hawajapatikana, Ulimboka dr. Kabomolewa korodani sasa Mwandishi Mwangosi kafanywa nyama ya kusangwa!!! Duuuh!

Kweli Mbeya ni Nchi!


Kwikwikwi Ndio waliyosema Lowassa,Sitta na Membe nini?Malawi lazima ipigwe.kwa hiyo wananchi wa Nchi Jirani na Malawi inabidi wapigwe kwanza wasije wakawasaidia.Nchi jirani ya Malawi na Tanzania ni MBEYA!!!
 
Wanatutafuta, sijui kwa sababu tulimpiga mawe baba yao!? sa ivi atauwawa mtu kule afu tunajitenga tunaungana na mkoa mwenzetu wa dada Joyce Banda au sio Gwankaja Gwakilingo, Yaya Toure, masopakyindi Gwangambo Bujibuji et al

Mkuu mimi ninachopinga ni air of impunity katika jeshi la Polisi.
Kumpiga mwandishi , hadharani, tena akiwa amekumbatia kamera yake,kumpiga hadi kufa kwa lugha rahisi ni kitendo cha kishenzi.
Mtanisamehe kwa hasira yangu wakuu, maana si kawaida yangu.
Lakini watu kama hao Polisi wasipochukuliwa hatua za kisheria ujinga huu utaendelea. Na hapo mtu awe CCM,CHADEMA au CUF, hilo halikubaliki.
Leo inabidi tukubadili jina, HUMANITY FIRST! Maanake mwanzo nilikuwa hata sitaki kulumbana na wewe kwasababu jina lako limekaa kimaslahi zaidi
 
Last edited by a moderator:
Hata wa Habari Leo na Daily News wamemgomea? Safi sana, damu ya mabadiliko imemwagika hakuna kurudi nyuma!
 
siyo rahisi kugomea habari zote zingine ni muhimu kwa umma mi nadhani wagomeevza promo na pr na ikilazimika wasiobeshwe sura zao kama walivyofanya itv leo. nilijisikia mwili unasisimka nilipomuona muuahi namba moja mwema akijiongelesha upuuzi. bora angeoneshwa yule mama sijui wa wapi vile.

huo ndo unaweza kuwa nkakati unaotekelezeka
 
Nimemsikia Waziri asiye na Wizara Maalum Mark Mwandosya katika Ebony FM akisema vyama vya siasa vinahusika na mauaji, ameelekeza wazi lawama kwa CDM kwamba ni wauaji.
Sijui kwa nini wanaogopa kuwataja Polisi?

Awataje wammalizie kabisa .......kunusa kaburi si mchezo
 
Mkuu mimi ninachopinga ni air of impunity katika jeshi la Polisi.
Kumpiga mwandishi , hadharani, tena akiwa amekumbatia kamera yake,kumpiga hadi kufa kwa lugha rahisi ni kitendo cha kishenzi.
Mtanisamehe kwa hasira yangu wakuu, maana si kawaida yangu.
Lakini watu kama hao Polisi wasipochukuliwa hatua za kisheria ujinga huu utaendelea. Na hapo mtu awe CCM,CHADEMA au CUF, hilo halikubaliki.
Atamchukulia sheria nani wakati alitumwa??? Wale wanapewa amri tu....
 
Ni faraja kuisikia hivyo. Naomba mgomo huo uendelee hadi Polisi waombe radhi umma kwa kuua watu wasio na hatia na hapo ndipo itakuwa starting point kwa mahakama ya ICC.
 
Kuna Mwana mbeya mmoja (sina uhakika lakini pengine anajiita tu) kazi yake ni mc wa maharusi na redio moja ya ngono,music na pombe. wenyewe wanaita redio kiburudisho! tena anasemaga ni wa huko huko Tukuyu! Ukimsikia anavyoshabikia dhulma wanayofanyiwa raia daaah! Huwezi kuamini kama kweli huyu jamaa ni mmbeya kweli au kiraka.

yule kigonge yule ni mgonjwa anatumia aravi,
 
Kwa muda gan watagoma????




Swali lako zuri sana broo maana hawa waandishi wa bongo siwaamini na siwapendi kwa ukigeugeu wao Kama nisivo muamini zitto na nape, kwanza waandishi wa habari ndio wanaongoza kubaka democrasia ajili ya vibahasha vya ccm...Wangeigomea serikali nzima kwani polisi si taasisi ya serikali,..
 
naunga mkono hoja kwa 100%.


By only83
Nadhani cha msingi ni kugomea habari za wizara ya mambo ya ndani na jeshi la polisi.


Siungi mkono Hoja Hata kwa %1 unamsusia mtoto huku wazazi Unafanya nao kazi??? Ningeunga Nkono Kama wangesusia habari za serikali ya ccm...
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom