Waandishi na watangazaji wa TBC

Waandishi na watangazaji wa TBC

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
Mnajisikiaje mnapochukiwa na wanchi nakuchomewa nyumba hata pengine kuuawa kwaajili ya kutumiwa vibaya na sesikari? Hakika nawambia sasa mtawindwa kama swala, kwa muyanenayo kwa mamlaka mliyopewa na watanzania nyie mwafanya kazi za chama na kueneza sera na kutetea uozo wa serikari. Hakika hamnabudi kutambua watanzania tumeshachoka na propaganda za ccm. Jifunzeni kwayaliyotokea leo ntwara! Wananchi wamechoka.
 
Na waendelee kuchomewa mali zao hata na wao ikiwezekana. Very foolish matbccm
 
Hawa watajuta kumtumikia kafiri!
Kuna litangazaji linaitwa Marin Marin hakyanani nataman ndo lingepata huo mshikemshike wa mtwara, seenz!
 
Hawa watajuta kumtumikia kafiri!
Kuna litangazaji linaitwa Marin Marin hakyanani nataman ndo lingepata huo mshikemshike wa mtwara, seenz!
PJ, Nina uhakika humaanishi kuwa unamwombea hayo yampate ila unamtumia salam Marin kuwa usaliti unamalipo yake hivi ajifunze.
 
Hakuna mtu mnafiki kama mtangazaji huyo Marin Marin. Bado safari ipi ndefu.
 
Hawa watajuta kumtumikia kafiri!
Kuna litangazaji linaitwa Marin Marin hakyanani nataman ndo lingepata huo mshikemshike wa mtwara, seenz!

Usilisahau li gabriel zakaria, yani ni kama lichok flan.
 
Usilisahau li gabriel zakaria, yani ni kama lichok flan.

mkuu,leo star times yng ilgoma kuonysha itv,kuweka tbccm c ndio nikakutana na huyo gabriel zakaria,yan alvyokuwa anaisoma taarfa ya habar kuhusu mtwara, uso wake ulkuwa unaonyesha kuwaponda wana mtwara kwa wanachokifnya,halifai kabisa!
 
kuna watu nasikia walikua ni viongoz wa mtwara
serikali iliwapeleka nje ya nchi kuwaelimisha manufaa ya gesi ya mtwara......????
 
badilikeni jamni tbc hiyo tv inaendeshwa kwa kodi zetu sisi wananchi na si hao mafisadi wanao tunyima sisi wananchi haki ya uhuru wa habari :A S-fire1:
 
mkuu,leo star times yng ilgoma kuonysha itv,kuweka tbccm c ndio nikakutana na huyo gabriel zakaria,yan alvyokuwa anaisoma taarfa ya habar kuhusu mtwara, uso wake ulkuwa unaonyesha kuwaponda wana mtwara kwa wanachokifnya,halifai kabisa!

Natamani kusikia li gabrieli zakaria linachomewa nyumba na gari na kila kitu
 
Nafikiri hakuna haja ya kujenga chuki wa kutukana kumbuka kila mtu anawajibu wa kutoa maoni yake.
 
kuna watu nasikia walikua ni viongoz wa mtwara
serikali iliwapeleka nje ya nchi kuwaelimisha manufaa ya gesi ya mtwara......????

Na yule bibi aliyepiga beat ya kubadilisha gasi kuwa maji endapo serikali itasimama kwenye msimamo wake, yuko wapi jamani asijekuwa washamlaghai na kumpa mjengo masaki?
 
Yalomtokea mwenzao Mtwara ni salamu kwa kina Mshana & Co.
 
Sijui yoko wapi bibi jaman? Mkulu si alimuomba akutane nae?
 
Tbc badilikeni
Malalamiko yamezidi
Tangazeni habari balanced
 
Nafikiri hakuna haja ya kujenga chuki wa kutukana kumbuka kila mtu anawajibu wa kutoa maoni yake.

Tatizo sio Uadui bali ni kwamba hawa "MAYALA" ya TBCCM wanashindwa kujua kwamba wao kunenepeana ni kwa sababu ya Kodi zetu? TBC ni mali ya Watanzania wote na sio mali ya CCM na viongozi wake.

Kuchomewa nyumba kwa Mwandishi wa habari wa TBC ni kielelezo tosha kwamba sasa Watu wamewachoka hawa waandishi Uchwara na Waendekeza Tumbo wa TBCCM kwa tabia yao ya kujipendekeza kwa Serikali ya Ccm kwa kuripoti Uongo na Propaganda!
Huuni mwanzo tu na kwamba mengine mengi yanakuja ni swala la Muda tu. Haiwezekani watu wachache kukitumia chombo cha Umma kwa maslahi yoa na Watawala huku Umma wa Watanzania walipa kodi inayoendesha Chombo hicho wakiachwa kusemewa na badala yake chombo chao kinatumika kuwatishia..!
Mimi tangia hiki kituo kianze kutumika kuhujumu Harakati za CDM na kua Mstari wa mbele kurusha vipindi vya Hujuma na PROPAGANDA dhidi ya CDM hakika nimekua siipendi kabisa kuiyangalia especialy Vipindi vinavyo tangazwa na huyu anaejiita MARIN HASAN MARIN!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
Back
Top Bottom